Clouds yaipotezea UKAWA

Clouds yaipotezea UKAWA

Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.

Wasakatonge wote si washauri wazuri hata kidogo!
 
Nyie watz mnafikiri hao ya clouds ni mchenzo!hii maana yake ni kuwa chombo cha habari inatumika kupandikisha chuki katika jamii,mnapitia njia ile ile ambao kenya ilipitia na kuatiwa na vurugu kubwa 2007
 
Mnavyo anzisha habari kuhusu clouds fm hapa JF ndio mnawapa umaarufu hao wajinga wa hio redio ya ccm
 
Hivi Barbara kaolewa? Anaitaji ku-su----wa:A S wink:

Mkuu sio huyo tu kuna producer wa hicho kipindi aliipa yy ataunganisha nguvu na vijana wenzake kuhakikisha serikali tatu hazipiti, then hujui vitu ilikuwa aibu wkt anahojiwa na Jenarali Ulimwengu anajikanyaga na kusingizia watu bila evedance.Sasa inawezekana ameanzia na hapo kwenye kipindi chake
 
Clouds na watangazaji wake wote ni makapi tu! Hawana akili na wala hawana uwezo wa kuchambua mambo! Kwanza elimu yao ni ya kuungaunga tu! Ni makanjanja wakubwa hao!
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
 
Clouds is ----!

Hivi kusikliza Clouds FM, si ni sawa sawa tu na kusikiliza Radio Uhuru na TBC?

Hicho kiredio cha Clouds, kazi yake kubwa ni kutangaza udaku, umbeya na kueneza propaganda, kwa lengo la kuisaidia CCM.

Mtu yeyote makini, hawezi kusikiliza karedio ka umbeya kama hako ka Clouds!
 
Ni waandishi wa habari wa gazeti la mwanasiasa mmoja wapo aliegoma kuingia bungeni, isitoshe wafanya kazi wake wote ni wanachama wa chama hicho ambacho card ya uanachama waliletewa ofisini.
Sasa kilichowatuma wasome habari zingine za waipotezee hiyo ni nini? Za kwako changanya na za mbayuwayu
 
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
Asante mleta mada.
Kwanza wewe una akili nyingi sana na ndio maana bado unasikilza clouds tena asubuhi wakati unaanza siku na nahisi hukuona midahalo miwili ya Ubungo Plaza pamoja na ule wa awali pale Serena kwa vile ilirushwa ni vituo ambavyo sio 'saizi' yako. Lakini naamini uliangalia/sikiliza ule wa Nkrumah au ulihudhuria kabisa, waulize waliohudhuria yote wakwambia katika nchi hii ni nani mjinga na ni nani mp.u.mb.a.vu (kwa mjibu wa Prof. Kabudi).
Pia kama unaweza tafuta mawasiliano ya huyo Professor akusaidie kujua kati ya clouds na UKAWA ni nani mjinga/mp.u.mb.a.vu.
Siku njema
 
Yani were nilijua utasema clouds FM instuuzi wananchi. Iyo radio ni watumwa was ccm. Pamoja na wafanyakazi wrote ni watumwa wa ccm
 
Hehehe hivi kichwa maji Barbara Hassan ana hoja gani ya kusikilizwa...akili ndogo kamwe haiwezi kutafakari mambo ya akili kubwa...
 
Wananchi ni nani? Au wewe ni mwanachi na wao si wananchi?

hao clouds ni 0.00000000000000000000001 ya wananchi wote wa tz. ngoma iko nje huku na sio studio za mawingu, endeleeni kujisumbu kutunga hiyo katiba yenu ya ccm halafu mtakuja kutuambia kama pepsi ni soda au kinywaji? nya*mb*afu
 
Kila dakika utasikia kale kawimbo chao cha "Hello hello Tanzania "...
Kazi kujipendekeza tu katika chama cha majambazi.
 
vidampaaa wa ccm hao.....alafu ni makuwad..
.

wa mkulu wa nchi ngoja aondoke madarakani sijui watakuny wapi hao mbona wakati wa mkapa hawakumgusa mmakonde yule,
 
Back
Top Bottom