Acha kukariri manadharia yenu na kuja kuyatumia kama mtumwa. Weka vionjo vyako ili kipindi kichangamke. Ile ni sanaa si kila mtu ataipenda au kuichukia. Huo ndio upekee 360 ya clouds na 360 ya cnn. Hizo mizaha na kejeri ndio burudani yenyewe wewe vipi??Bora Mimi Mjinga kuliko Wewe Mpumbavu usiyejua taratibu za Chombo husika cha Habari katika kupeleka ' maudhui ' yake kwa ' walaji ' wake hadi unakuja humu na kulalamika. Ungekuwa una background kidogo ya Journalism / Broadcasting ' knowledge ' usingekuwa wa ' hovyo hovyo ' hivi.