Nimewadharau sana Clouds tv asubuhi hii.

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,667
1,566
Nashindwa kuelewa kwa nini vyombo vya habari vinalalia upande wa chama cha mapinduzi hasa wakati wa uchambuzi wa magazeti.
Muda huu hapa naangalia cliuds 360 cha clouds tv uchambuzi wa magazeti. Samwel sasali anachagua wazi wazi magazeti na vichwa vya habari vya kudoma.
Vyombo vya habari ifikie wakati vitambue kuna maisha baada ya uchaguzi, tendeni haki. Ifike wakati tuache maisha ya kujipendekeza, unafiki na woga.
 
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni mkoa wa Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Handeni katika mkutano wa hadhara uliofanyika Handeni mkoani Tanga.
Wagombea Udiwani katika kata mbalimbali jimbo la Handeni, wakinyoosha mikono, waliponadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo la Handeni mkoani Tanga. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, Angella Kizigha.
Mwandishi wa habari aliyeko katika msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, wa kampeni za CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo jimbo la Handeni mkoa wa Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akionyesha ilani ya CCM, kabla ya kumkabidhi Mgombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni Mjini mkoani Tanga.
Aliyekuwa Muomba ridhaa ya CCM, kugombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, John Sallu, akimnadi Mgombea aliyepitishwa na CCM katika kura za Maoni, Mboni Mhita, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni Mjini mkoani Tanga.
Mgombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita akihutubia mkutano wa kampeni katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Handeni Mjini mkoani Tanga
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, katika jimbo la Handeni Mjini mkoani Tanga leo.
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipopita katika kijiji cha Msente, akiwa njiani kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kilindi mkoani Tanga.
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipopita katika kijiji cha Kwediboma, akiwa njiani kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kilindi mkoani Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgombea Ubunge jimbo la Kilindi, Omar Kigua, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kilindi mkoa wa Tanga.
Umati wa wananchi ukiwa umefurika katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kibirashi leo katika jimbo la Kilindi mkoa wa Tanga leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizmnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kilindi mkoani Tanga, Omari Kigua katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliozuia msafara wake wakati akitoka Kilindi kwenda Kiteto kuhutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliozuia msafara wake wakati akitoka Kilindi kwenda Kiteto kuhutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kiteto kabla ya kwenda Uwanjani kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kiteto
Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Kiteto
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo.
Wananchi wakimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara.
Vijana wakijitahidi kukaa popote kuhakikisha wanamuona Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi Mama Samia, uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo
Mgombea Mwenza a Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Emmanuel Papian John, katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Wagombea wa Udiwani katika jimbo la Kiteto wakinyoosha mikono baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo.
Mbunge wa Nchemba, Juma Nkamia akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Dodoma
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nchemba mkoani Dodoma leo.
Baadhi ya wagombea Udiwani jimbo la Nchemba, wakinyoosha mikono, baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, katika jimbo hilo mkoa wa Dodoma
 
Sio kila kilicho andikwa kwenye magazeti lazima kisomwe vingine havina mashiko kwa jamii.

Tatizo la wakwere ni umbumbumbu, mmemshabikia kikwete kawamaliza kwa kuua mji wenu mtakatifu wa chalinze. Mlivyo wapumbavu bado mnaipenda ccm.
 
Kuna maajabu STAR TV muda huu

kunamhadhili anaongea....huwezi amini

Hajui maana ya katiba

Hajui mipaka ya rais nikatiba

Hajui kuwa mwajiri wa ras ni mwananchi

Hajui vyama vingi wala matakwa ya sheria inayoongoza vyama vingi

Kwa ujumla huyu ni mhadhili hewa na uwezo wake ni wahovyo kabisa
 
Nashindwa kuelewa kwa nini vyombo vya habari vinalalia upande wa chama cha mapinduzi hasa wakati wa uchambuzi wa magazeti.
Muda huu hapa naangalia cliuds 360 cha clouds tv uchambuzi wa magazeti. Samwel sasali anachagua wazi wazi magazeti na vichwa vya habari vya kudoma.
Vyombo vya habari ifikie wakati vitambue kuna maisha baada ya uchaguzi, tendeni haki. Ifike wakati tuache maisha ya kujipendekeza, unafiki na woga.
Radio One ni pro-UKAWA, jaribu hiyo. Kila asubuhi wanaanza na NIPASHE
 
Back
Top Bottom