Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,706
- 31,136
Wanao wanalawitiana shule na kuwa mashoga wa baadaye, wewe waenda kunywa maji?Pole sana.kunywa maji.
Sick!!
Wanao wanalawitiana shule na kuwa mashoga wa baadaye, wewe waenda kunywa maji?Pole sana.kunywa maji.
Kumbe i wanafahamika kuwa ni wana Clouds?Waliomjibu mleta mada kweli ni wanajukwaa hili peke yao, nadhani wengi au karibu wote wanatoka Clouds.Mjibuni kitaaluma, itasaidia kuliko vijembe mlivyomrushia
Kwa kweli hata mimi wamenikela mpaka nikabadilisha steshen nyingine kwa muda kwa jinsi walivyojadili kama walikuwa wanahamasisha wapewe onyo Kali ili siku nyingine wasirudieNaangalia Clouds TV, na nipo Dodoma asubuhi hii.
Katika mapitio ya habari za magazeti, kuna dada na vijana wawili wenzake.
Kuna habari ya watoto wa shule kulawitiana wanaipitia toka gazeti moja.
Cha kushangaza kama si kusikitisha hii habari wanaifurahia sana na kuipamba as if ni ya kufurahisha.
Huyo dada anacheeeka utafikiri hiyo habari inampa ashki ya tendo lenyewe.
TCRA na Mwakyembe naomba muwachukulia hatuua hawa Clouds.
Badala ya kuisoma hiyo habari kwa kukemea tatizo la jamii wao wanalifurahia.
Clouds mmenikera!
Tena sio kuchelea tu ilifika hatua yule msoma magazeti Samu anamgusa gusa mwanamme mwenzake hasani harafu wanacheka hata Mimi wameniudhi sana.Tatizo ni lako maana una ufinyu wa kutafsiri matukio kwa upana wake.
Ukiwa na mawazo finyu unaishia na conclusion finyu kulingana na kile unachokifahamu.
Sasa hapa watu wanaongelea ulawiti katika watoto katika jamii nanyi mnachekelea kama kushabikia na hamna akili nzuri.
Waathirika ndo ninyi mnao support dalili za ushoga, na ninapata taabu na hao wanaochekelea kwa kufurahia.
Maana yake inaelekea nanyi mna tabia hizo hizo.
Daah [emoji2] [emoji2] [emoji2]usipotoshe,
walicheka pale SAM alipotumia neno student union kama tafsida.! na sio kufurahia kama unataka tuamini.
ukitaka taarifa watangazaji wakiwa wamenuna angalia tbcccm.
Msijikwepeshe na nada, na inavyoelekea nyote mko hapo palipotokea tukio,Pole sana Bashite, omba tu msamaha kwa press uendelee kuuza nyago, mbona mama Fenela Mkangara aliomba radhi na mambo ikawa byee
Nyie vijana mnamatatzo ya kijinsia.Pole sana Bashite, omba tu msamaha kwa press uendelee kuuza nyago, mbona mama Fenela Mkangara aliomba radhi na mambo ikawa byee
Hivi kutokucheka ndo kuhuzunika? tuache unafiki wabongo tunajifanyaga kuhuzunika ila watu waone umehuzunika wakat hali halis sio. Unafiki wa wa tanzania hauna mfano..Naangalia Clouds TV, na nipo Dodoma asubuhi hii.
Katika mapitio ya habari za magazeti, kuna dada na vijana wawili wenzake.
Kuna habari ya watoto wa shule kulawitiana wanaipitia toka gazeti moja.
Cha kushangaza kama si kusikitisha hii habari wanaifurahia sana na kuipamba as if ni ya kufurahisha.
Huyo dada anacheeeka utafikiri hiyo habari inampa ashki ya tendo lenyewe.
TCRA na Mwakyembe naomba muwachukulia hatuua hawa Clouds.
Badala ya kuisoma hiyo habari kwa kukemea tatizo la jamii wao wanalifurahia.
Clouds mmenikera!
Social ills lazima ziwe addressed kwa uzito na concern inayostahili.Hivi kutokucheka ndo kuhuzunika? tuache unafiki wabongo tunajifanyaga kuhuzunika ila watu waone umehuzunika wakat hali halis sio. Unafiki wa wa tanzania hauna mfano..
Hisia za mtu ziko ndan yake sio machoni ya watu wengine,acha kukremuSocial ills lazima ziwe addressed kwa uzito na concern inayostahili.
Ukienda msibani utaimba mapambio na si miziki ya ndombolo.
Lazima tuwe serious.
Hiyo haipo tena, wameshamtibua.Magu mwenyewe anapenda clous kuliko tbc
Jf sasa hivi imekuwa jukwaa la kutulizia msongo wa mawazo. Huo ni ufundi wao wa kuendesha kipindi chao. Ndio maana wako kipekee.
Kutokujua hilo ndio ujinga wenyewe pia.Kumbe hata kufanya mambo ya Kijinga na kwenyewe ni ' upekee ' Mkuu? Nilikuwa silijui hilo.
Kutokujua hilo ndio ujinga wenyewe pia.
Mkuu "WaBongo Na WaTanzania " sijui umejihesabu.Hivi kutokucheka ndo kuhuzunika? tuache unafiki wabongo tunajifanyaga kuhuzunika ila watu waone umehuzunika wakat hali halis sio. Unafiki wa wa tanzania hauna mfano..