Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

Kuna mwanamuziki alishaimba kuwa clouds imejaa mashoga. Naanza kuamini ss!

- Hapa ndipo CCM inapowazidia kete bila kujua, Joe na Clouds ndio hasa vijana wa sasa wapiga kura waliompa Urais Obama sasa ukiwatukana na matusi mazito mazito namna hii unategmea nini siku uchaguzi utakpofika? Mambo mengine yanachekesha sana, mbona ni common sense kidogo tu!

- Hivi unajua ni ajira ngapi zinatolewa na Clouds kwa vijana wadogo ambao walikuwa wamekata tamaa na maisha kabisa na hakuna hope? Mpaka alipotokea Joe na Clouds! Kwani Bilicanas wakimfanyia party Jk ya birthday atakataa kwenda?

Es!
 
Mzee wa datas kumbe hata kughani hizi bongo fleva unajua siyo? Hiyo mistari imenifurahisha sana ila umesahau beti za kura za maoni mkoa wa kati ya Tanzania hukuziwekea mistari. Karibu mkuu.

- I see ninaijua Clouds toka ikiwa ya Justin kaka yake Joe alipotoka Holland kusoma long time ago na Joe alipotaka kutengeneza Album ya kwanza inayoitwa "Hoya Msella" in 1992 I worked with him in New York na DC kwa hiyo haya sibahatishi, na hawa vijana wa Bongo-Flev ndio wapiga kura wenyewe, sasa nashangaa strategy ya kuwatukana ni dalili za mfa maji au kukata tamaa, again ninasema hivi kama kweli Wapinzani wako serious waungane sasa!,

- Mfano mzuri ni visiwani, wananchi wote wanajua upinzani ni CUF tu ndio maana wana nguvu za ajabu na sasa wataingia kwenye serikali ya pamoja! Bara tutaendelea kurushiana maneno yasiyokuwa na faida kwa taifa mpaka mwisho wa dunia ushindi hakuna!

Es!
 
seeing the photos najiuliza ni mara ngapi akina eminem, jay-z ryan seacrest, richard quest wanaweza kuingia kwenye b'day ya obama... au akina domino, nonini na nyota ndogo wanenda kwa kibaki kula besdei

surely priorities are different
 
- Ndio matatizo yetu wabongo, kwani ni Rais wa nani si wananchi? Sasa hawa kina Jay-z na Eminem sio wananchi mara ngapi tumeona Obama akicheza mpira na kina Duhon, hivi hujamuona Obama na Kanye West wakati wa kuapishwa kwa Urais wake, tena anakula muziki wake!

- Halafu from all the examples Kibaki aliyeiba uchaguzi mchana wote tunaona ukaona ndio mfano unaofaa! ha! ha! ha!, sometimes mnaboa sana na hizi never ending unnecessary rants!

Es!
 
Mimi sina tatizo hata Matonya akiingia kwenye party ya JK, JK ni rais wa wote na watanzania wote ni sawa katika utanzania wao, hatuna watanzania wa daraja la juu na wengine watanzania wa daraja la pili.

Tatizo langu ni journalistic integrity ya Clouds FM.

Clouds FM cannot claim impartial journalistic integrity when it comes to Kikwete and CCM. Not after this.

I mean they were pretty open about it, but now it is official.

Kuna katuni moja inamuonyesha Kikwete kakaa katika kiti cha Usultani, halafu kuna watu wanamsujudia, muungwana mmoja akauliza hivi waandishi habari wako wapi waje ku cover hii habari/ Akaambiwa hao wanaomsujudia ndio waandishi wa habari.

Aliyesema yule mchora katuni aliongeza chumvi kadhihirishiwa vinginevyo na hii party.
 
you missed my point...
 
- I see ninaijua Clouds toka ikiwa ya Justin kaka yake Joe alipotoka Holland kusoma long time ago na Joe alipotaka kutengeneza Album ya kwanza inayoitwa "Hoya Msella" in 1992 I worked with him in New York na DC kwa hiyo haya sibahatishi, na hawa vijana wa Bongo-Flev ndio wapiga kura wenyewe, sasa nashangaa strategy ya kuwatukana ni dalili za mfa maji au kukata tamaa, again ninasema hivi kama kweli Wapinzani wako serious waungane sasa!,

- Mfano mzuri ni visiwani, wananchi wote wanajua upinzani ni CUF tu ndio maana wana nguvu za ajabu na sasa wataingia kwenye serikali ya pamoja! Bara tutaendelea kurushiana maneno yasiyokuwa na faida kwa taifa mpaka mwisho wa dunia ushindi hakuna!

Es!
wewe kuna mtu humjui? chapa lapa dogo, piga gia ufikishe mzigo
 
Mimi sina tatizo hata Matonya akiingia kwenye party ya JK, JK ni rais wa wote na watanzania wote ni sawa katika utanzania wao, hatuna watanzania wa daraja la juu na wengine watanzania wa daraja la pili.

Tatizo langu ni journalistic integrity ya Clouds FM.

Clouds FM cannot claim impartial journalistic integrity when it comes to Kikwete and CCM. Not after this.

I mean they were pretty open about it, but now it is official.

Kuna katuni moja inamuonyesha Kikwete kakaa katika kiti cha Usultani, halafu kuna watu wanamsujudia, muungwana mmoja akauliza hivi waandishi habari wako wapi waje ku cover hii habari/ Akaambiwa hao wanaomsujudia ndio waandishi wa habari.

Aliyesema yule mchora katuni aliongeza chumvi kadhihirishiwa vinginevyo na hii party.

- Sidhani kama kuna tatizo, FOX NEWS kuwa Conservative na MPR kuwa Liberally ni uamuzi wa msikilizaji, Clouds wako free kuamua what they want to be, msikilizaji ndiye muamuzi maana you know what you are getting yr self into unapo-watune in!

Es!
 
ni kweli kabisa... tofauti na wale wa ukweli, siku zote academia wana shida sana

- Unapoteza muda wako bure na ngonjera, toa hoja za kusaidia taifa mimi sigombei anything, Taifa mbele pole sana naona una matatizo ya binafsi na huwezi kutukana kama unavyotaka maana utafungiwa, ha! ha! ha! ha! sasa unajaribu kutumia maneno yasiyoeleweka na jamii waste of yr time! and here I am!

Es!
 
- Sidhani kama kuna tatizo, FOX NEWS kuwa Conservative na MPR kuwa Liberally ni uamuzi wa msikilizaji, Clouds wako free kuamua what they want to be, msikilizaji ndiye muamuzi maana you know what you are getting yr self into unapo-watune in!

Es!

Sina tatizo na radio kuwa Conservartive au Liberal, lakini hata hao uliowataja (Fox News na NPR) hawajafikia kiwango cha kumfanyia birthday Bush au Obama.

Clouds wako free kuamua kuwa biased, sijasema hawana haki ya kuwa biased, ninachosema ni kwamba wamekosa "impartial journalistic integrity". Huwezi kusema una bias ya CCM halafu hapo hapo ukasema uko impartial na unaweza kuwaambia wananchi habari za kampeni kikamilifu bila motive ya kutaka CCM washinde.

Clouds imejidhihirisha rasmi kama redio ya CCM na watanzania wengine tunaotaka habari zisizo na bias hatuwezi kuwatilia maanani.
 
Udhe mpango wako wa kuwasaidia watansania kupata kasi nje ya nchi umeishia wapi? Naona ulipotea kabsaaa baada ya kukosa mtu wa kutapeli. Fanya kasi nduku yangu wacha ufifu na utapeli. Umesoea fya kunyonga sio?

- Mkuu pole sana, unayoyasema yana topic yake hapa tunaongelea Clouds na birthday ya Rais, kama ni kazi nimeanza ubaharia nikiwa 18 years old pole sana wenzako hurukia treni kwa pembeni sio kwa mbele ha! ha! ha! ha! ha! utapeli sijawahi hata siku moja naona unachanganyisha ha! ha ndio mambo ya kurukia treni kwa mbele ha! ha! ha!

Es!
 
Sina tatizo na radio kuwa Conservartive au Liberal, lakini hata hao uliowataja (Fox News na NPR) hawajafikia kiwango cha kumfanyia birthday Bush au Obama.

Clouds wako free kuamua kuwa biased, sijasema hawana haki ya kuwa biased, ninachosema ni kwamba wamekosa "impartial journalistic integrity". Huwezi kusema una bias ya CCM halafu hapo hapo ukasema uko impartial na unaweza kuwaambia wananchi habari za kampeni kikamilifu bila motive ya kutaka CCM washinde.

Clouds imejidhihirisha rasmi kama redio ya CCM na watanzania wengine tunaotaka habari zisizo na bias hatuwezi kuwatilia maanani.

- Mkuu kama kweli unasikiliza Clouds all the times unajua where they stand hata bila ya this party au?

Es!
 
Wewe ES una bore sana na kujifanya kila kitu unajua na kusuport visivyo!Clouds iko so bias esp this tym of general election!they should't be
coz wanapotosha!
 
Siyo birthday, wanamuaga JK kumpisha Dr. Slaa kuwa rais wetu
 
Mzee Malecela hakualikwa??? Sikujua kuwa Agwe anajua kususa\kununa Bwa ha ha ha ha... Lusinde aka Bajaji Oyeee... Tinga tinga Bwa ha ha ha haaaa...
 
Back
Top Bottom