Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

19.jpg

Rais Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa kampuni bingwa ya burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd,Juhayna Ajmi.Rais Kikwete alipita kila meza kusalimiana na wageni waalikwa waliofikwa kwenye hafla yake fupi ya kusherehekea kuzaliwa kwake usiku wa kuamkia leo.

- Brother Jose & Juhaina Kusaga, wanahitaji pongezi sana I mean, kwanza uchumi kuliletea taifa hela nyingi sana kupitia kodi wanazolipa, na pia kutoa ajira kubwa sana kwa vijana wetu that is all we could ask na wabarikiwe sana Mungu Wa Mbinguni wafanikiwe zaidi.

- From Domestic Equipment, Home parties, Motel Agip, Leaders Club, now all the way to the Stars mpaka kuwaleta kina Jay-Z na Beyonce, Jose ubarikiwe bro achana na hizi roho za kikorosho ndio zetu wabongo ndivyo tulivyo ha! ha! ha! mwendo uendelee kuwa mdundo kama ulivyo sasa!

Es!
 
Pongezi umeona kwa hawa clouds tu?lots of fellahs paying tax more than clouds!Wewe shabikia tu mambo usiyo yajua!
Ngoja kijana achue jimbo la kina agwe na darasa lake la 7!hakuna caterpilar wala tinga tinga!bajaji tu kwa kwenda mbele!
Eti umezaliwa mjini?so what?hao unawashabikia wamezaliwa kijijini na wamekupiga bao unabaki kusifia juhudi zao!
 
- Mkuu kama kweli unasikiliza Clouds all the times unajua where they stand hata bila ya this party au?

Es!

Najua wanavyofikiri, ujanja ujanja wa mjini na kuji network. Tangu kabla ya enzi za Marehemu Amina Chifupa. One only has to listen to Ephraim Kibonde kujua kwamba Clouds wanakuwa chombo cha chama kuliko "Uhuru" na serikali kuliko "Daily News". Maana hata huko "Uhuru" na "Daily News" kuna watu wasiofagilia mtandao wanaweza kumlipua Kikwete kiusanii, lakini si Clouds.

And then mnataka tuamini hii ni redio inaweza kutoa habari kwa style ya neutral kweli? Hii cronyism ya wazi wazi ambayo hata hawaionei haya, utafikiri tuko North Korea kwa Kim Il Sung na Kim Il Jong ?

Wapi umeona NPR au FOX News wamemfanyia birthday party rais wa Marekani? Hakuna cronyism kama hiyo.
 
Pongezi umeona kwa hawa clouds tu?lots of fellahs paying tax more than clouds!Wewe shabikia tu mambo usiyo yajua!
Ngoja kijana achue jimbo la kina agwe na darasa lake la 7!hakuna caterpilar wala tinga tinga!bajaji tu kwa kwenda mbele!
Eti umezaliwa mjini?so what?hao unawashabikia wamezaliwa kijijini na wamekupiga bao unabaki kusifia juhudi zao!

- What a Great Thinking ha! ha! ha!,

Es!
 
Najua wanavyofikiri, ujanja ujanja wa mjini na kuji network. Tangu kabla ya enzi za Marehemu Amina Chifupa. One only has to listen to Ephraim Kibonde kujua kwamba Clouds wanakuwa chombo cha chama kuliko "Uhuru" na serikali kuliko "Daily News". Maana hata huko "Uhuru" na "Daily News" kuna watu wasiofagilia mtandao wanaweza kumlipua Kikwete kiusanii, lakini si Clouds.

And then mnataka tuamini hii ni redio inaweza kutoa habari kwa style ya neutral kweli? Hii cronyism ya wazi wazi ambayo hata hawaionei haya, utafikiri tuko North Korea kwa Kim Il Sung na Kim Il Jong ?

Wapi umeona NPR au FOX News wamemfanyia birthday party rais wa Marekani? Hakuna cronyism kama hiyo.

- Wanayoyafanya yanazidi hata kutomkaribisha Rais, kwani bongo hatuna Bill of Rights za people to chose what they want to do au? Mimi nafikiri mradi wametimiza sheria za kusajiliwa that is all counts au? I mean Tanzania ni media outlet ipi hiyo iliyo fair? Si zote zimefinyangwa in one way or another, au?

Ukisema "wanayofanya yanazidi hata kutomkaribisha rais" unajikanganya, issue hapa si "kutomkaribisha rais" hatulalamiki kwa sababu rais hajakaribishwa, issue ni kwamba rais kakaribishwa, sasa hata ulipoanza kuona "kutomkaribisha rais" as an issue sielewi ni wapi.

Unaposema "Tanzania ni media outlet ipi hiyo iliyo fair" hujawatetea Clouds, una prove point yangu tu kwamba Clouds hawako fair. Kwa sababu ukikubali kwamba hakuna media outlet ambayo iko fair Tanzania, unakubali kwamba Clouds nayo haiko fair, kwa sababu Clouds ni media outlet iliyo Tanzania. Huwezi kumtetea mwizi mmoja kwa kusema "mbona kila mtu anaiba?". Wewe unaendesha magari unajua kwamba ukikamatwa na askari una speed huwezi kusema "Mbona kila mtu ana speed?" Askari atakuona mtu wa ajabu.

Kwa hiyo kama media zote zimefinyangwa hatuwezi kuzisema moja moja? Mimi nishaanza na Clouds, wewe taja hizo nyingine unazoziona basi.

Kwa kuwa viongozi wote wa Tanzania wezi, kiongozi mmoja akiiba utamtetea kwa kusema "Tanzania viongozi wote wezi" sio ? Two wrongs do not make a right.

Clouds wakitaka hata kubandika nembo "Redio ya CCM" Wanaruhusiwa, lakini wajijulishe wazi kwamba ni chombo cha propaganda za CCM na hawawezi kutoa habari zisizofungamana na upande wowote, wakijidai kusema hivyo na wakati huo huo wanataka kujipendekeza kwa Kikwete hawatawapata watu makini, labda asilimia 70 ya Kikwete.
 
- Ni free country Clouds wako free to do whatever they want mradi hawavunji sheria, umesema mengi sana ambayo wala sio yangu na hayanihusu kabisaa, ninatetea haki ya Clouds kufanya wanalotaka bila kuvunja sheria za jamhuri.

- Kama tuna sheria za kufuatilia Fairness katika Journalism, then Clouds wanaweza kuwa na makosa, I hope they did not! unless kama unaijua hiyo sheria ni kuisema tu hapa tukaelimishana.

Granted ni free country, na mimi niko free kuwasema kwamba wanaharibu kanuni za wanahabari huru kutojipendekeza upande wowote. Washatuambia kwamba wao ni jumuiya ya CCM in all but name.
 
kuna ule msemo unaosema ukitaka kujua tabia ya mtu angalia rafiki zake. Ukiangalia wageni waalikwa wa sherehe hii ya aliyekuwa rais wa Tanzania wa awamu ya nne (JK) huwezi kushangaa kwa nini rais yetu ni mtu wa kudanganywa kirais na "wasaidizi wake".
mkuu uko sahihi , hata Mbwambo wa raiamwema alisema kinachomfaa JK si urais bali kuongoza asasi za misaada, usanii mtupu nndo maana anfikiri kisanii,anaiongoza nchi kisanii, ahadi zake ni za kisanii , maamuzi ya kisanii mwisho wake taifa linakwend harijojo
 
ndio maana walimdanganya mkulu kuwa wasanii wanahitaji studio ya kisasa ya kurekodi badala ya sheria zitakazosimamia kazi zao ili waendelee kuwaibia, sasa napata picha ya kutokuelewana kwao na Sugu. ona studio inavyododa hakuna hata msanii anayeifahamu.
- Hapa ndipo CCM inapowazidia kete bila kujua, Joe na Clouds ndio hasa vijana wa sasa wapiga kura waliompa Urais Obama sasa ukiwatukana na matusi mazito mazito namna hii unategmea nini siku uchaguzi utakpofika? Mambo mengine yanachekesha sana, mbona ni common sense kidogo tu!

- Hivi unajua ni ajira ngapi zinatolewa na Clouds kwa vijana wadogo ambao walikuwa wamekata tamaa na maisha kabisa na hakuna hope? Mpaka alipotokea Joe na Clouds! Kwani Bilicanas wakimfanyia party Jk ya birthday atakataa kwenda?

Es!
 
Unasema ajira PEANUT! na je kuharibu watoto na wadogo zetu kwenye matamasha yao ya kipuuzi. wanabrain wash sana vijana hawa watu wa clouds kwa mambo ya kipuuzi. cwafagilii hata nukta moja.

wacha wajipendekeze ila yana mwisho.
 
Unajua kuna watu unaweza kuwafikiria ndivyo sivyo,nimegundua upeo wa kufikiri wa watu wengine uko hasi sana especially yanapokuja mambo yanayohusu kile anachokipenda.Wakati mwingine unapopata mtu wa kukueleza kuwa mkubwa una tongo tongo inakusaidia kujiweka vizuri badala ya muda wote kuwa defensive!
 
Back
Top Bottom