Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

Nifahamucho JK hujiona yupo nyumbani kwenye sherehe labda Dr. Slaa amfikirie u-Emcee kwenye sherehe yake ya kuapishwa hapo mapema Novemba. Vinginevyo amfikirie JK kuwa Master of Ceremony hapo Ikulu angalau tuwe tunaona minenguo yake ya uzeeni. Ninashindwa kuelewa kwa nini Mkapa hakumteua JK kuwa waziri wa burudani badala ya kumpatia wizara nzito ambazo zote alikuwa hajui afanye nini!
 
take time to think its the best way to reach next level, take time to rest its the key of opening new door of new idea and strength, Jk have best wish but do not bother your self in election to win due the fact that its the time for the Lord God to give Tanzania Relief and joy, by giving us his chosen son president. we love you and wish you the best of retirement after five years.
 
take time to think its the best way to reach next level, take time to rest its the key of opening new door of new idea and strength, jk have best wish but do not bother your self in election to win due the fact that its the time for the lord god to give tanzania relief and joy, by giving us his chosen son president. We love you and wish you the best of retirement after five years.
happy b day j.k please usitumie mabavu kukaa madarakani tutakuheshimu sana!
 
NA ROHO ITAZIDI KUKUUMA SANA PALE KIKWETE ATAKAPOAPISHWA TENA KUONGOZA NCHI HII.
Kwa jinsi ilivyo humu duniani, wale watu usiowapenda kuwaona au kuwasikia ndio wanaofanikiwa ili wee roho ikuume. Ili kupunguza maumivu ni ukampenda kikwete ili akiwa rais uwe ni miongoni watakaofurahi

bwa ha ha ha ... madrassa al sul
 
B Day party ya Dogo langu inakuaga na wageni waalikwa wenye IQ kubwa kuliko hawo wa kiwete wote!
 
Duu!!!!! Kwa hela zetu wanazoiiba wanaandaa sherehe kubwa kama hizo. Kweli Mungu atujalie tumpate rais anayejali kuteseka kwa watu wake kwa sababu ya umasikini. Ni bahati mbaya kuwa huyu jamaa (jk) hajui kwa nini watz ni masikini. Hivyo hawezi kujali matumizi makubwa ya hovyo2 anayoyafanya ili hali wadanganyika wengi wanakufa kwa njaa, maradhi na umasikini ukiokubuhu.

Inasikitisha kuona wakati akina mama wanateseka mahospitalini, kutafuta maji, vitendea kazi shuleni,barabara mbovu nk mkulu anawaalika akina kibonde, gardna, kusaga, pinda, mnafiki msekwa, mwinyi nk kuja kuteketeza hela za walipa kodi. What a shame to my country!A country whose president doesnt know the root cause of its absolute poverty, a country of indulgence by its president, ministers and government executives who are the otherwise small group of mites feeding in whole national cake alone.

Roho inaniuma sana!:wink2:

Kama roho iko uma, basi wewe tafuta kijiko! Teh teh teh! :tonguez:
 
Hivi hiyo jezi alipewa Kikwete na Kibonde inamaanisha nini? Wamenikera sana. Inaonekana Kikwete ameamua kujiliwa na sherehe kubwa kujipoza na michosho ya kampeni ingawa in a way sikubalianai na ukubwa wa sherehe hiyo, hao SIkinde wa nini sasa?

Huu ni ukweli, JK anapenda anasa sana na hana kitu kidogo; ni Celebrity President kabisa.
 
Kazi kweli kweli!
Company yake tuu inaonyesha aiana ya maisha
 
Hebu angalia vizuri hizo picha ya 4 na 5. Unagundua nini?
Ona namna anavyoushuka mkono wa Kussaga na tabasamu lake, kisha ona anavyomshika Juhayna na tabasamu lake.
Nimeona tu nakusema! Ila sijasema.
 
wote hao watampigia kura hiyo 31 october?????

hapo ndipo panapo nipa wasi wasi mkubwa saaaaana. Unaweza kuta kati yao hata kuji register kwa daftari la wapiga kura walizembea ati kwa kuwa walikuwa busy saaana, ndipo hapo ningepenga kuwarekebisha wote walio toa tathimni zao za 100% bila kuanagali je mapungufu ya wapiga kura yatakavyo kuwa

 
ukiwaona wageni waalikwa (marafiki wa JK) huwezi kushangaa kwanini jamaa huwa anadanganywa kirahisi sana na "wasaidizi" wake

Thats absolute true......sijaona wa kumpa advice zaidi ya Mizengo Pinda tuuuu........but otherwise nahisi jumatatau nitaikuta HekaHeka za Leo.....
 
Nakutakia kila la kheri.Mungu akuangazie na akupe maisha marefU.Happy Birthday JK.
 
Hivi waafrika tuna asili ya kusherehekea siku za kuzaliwa?
 
Back
Top Bottom