Mkuu afadhali ya huyu kulikoni ya Mugabe alitumia dola laki sita na kuwaita akina mbeki na marais wengine kwa kodi za wanazimbabwe.Duu!!!!! Kwa hela zetu wanazoiiba wanaandaa sherehe kubwa kama hizo. Kweli Mungu atujalie tumpate rais anayejali kuteseka kwa watu wake kwa sababu ya umasikini. Ni bahati mbaya kuwa huyu jamaa (jk) hajui kwa nini watz ni masikini. Hivyo hawezi kujali matumizi makubwa ya hovyo2 anayoyafanya ili hali wadanganyika wengi wanakufa kwa njaa, maradhi na umasikini ukiokubuhu.
Inasikitisha kuona wakati akina mama wanateseka mahospitalini, kutafuta maji, vitendea kazi shuleni,barabara mbovu nk mkulu anawaalika akina kibonde, gardna, kusaga, pinda, mnafiki msekwa, mwinyi nk kuja kuteketeza hela za walipa kodi. What a shame to my country!A country whose president doesnt know the root cause of its absolute poverty, a country of indulgence by its president, ministers and government executives who are the otherwise small group of mites feeding in whole national cake alone.
Roho inaniuma sana!:wink2:
Duu!!!!! Kwa hela zetu wanazoiiba wanaandaa sherehe kubwa kama hizo. Kweli Mungu atujalie tumpate rais anayejali kuteseka kwa watu wake kwa sababu ya umasikini. Ni bahati mbaya kuwa huyu jamaa (jk) hajui kwa nini watz ni masikini. Hivyo hawezi kujali matumizi makubwa ya hovyo2 anayoyafanya ili hali wadanganyika wengi wanakufa kwa njaa, maradhi na umasikini ukiokubuhu.
Inasikitisha kuona wakati akina mama wanateseka mahospitalini, kutafuta maji, vitendea kazi shuleni,barabara mbovu nk mkulu anawaalika akina kibonde, gardna, kusaga, pinda, mnafiki msekwa, mwinyi nk kuja kuteketeza hela za walipa kodi. What a shame to my country!A country whose president doesnt know the root cause of its absolute poverty, a country of indulgence by its president, ministers and government executives who are the otherwise small group of mites feeding in whole national cake alone.
Roho inaniuma sana!:wink2:
NA ROHO ITAZIDI KUKUUMA SANA PALE KIKWETE ATAKAPOAPISHWA TENA KUONGOZA NCHI HII.
Kwa jinsi ilivyo humu duniani, wale watu usiowapenda kuwaona au kuwasikia ndio wanaofanikiwa ili wee roho ikuume. Ili kupunguza maumivu ni ukampenda kikwete ili akiwa rais uwe ni miongoni watakaofurahi
Clouds Media Group...Happy Birtday Presidaa
Naam mwacheni amalizie huo upuuzi wake Dr wa ukweli akiingia JK tunampeleka Segerea na hao watu wa 88.4 tuwaone kwetu CHADEMA hakuna kujipendekezaHongera and Hapi Besidei