Aggrey Deaisile Joshua Mwanri....mzee wa sukuma ndaniHahahaa..... Huyo Mtaka ni kwa maoni yako mimi namuona Gambo!
Anton wa simiyuBashite lazima ashinde!
Hili shindano litaendeshwa kwa remote kutoka magogoni.
All in all,hili shindano ni moja vituko vya kufungia mwaka!
Masikini Tanzani ya viwanda!!!!
Yule akaungane na Mr Beneficial, mkandamizaji, Idrisa Trevo NoahAggrey Deaisile Joshua Mwanri....mzee wa sukuma ndani
Jana namba moja akamtania fyekelea mbaliYule akaungane na Mr Beneficial, mkandamizaji, Idrisa Trevo Noah
Hahahaa mkuu hapa iringa viongozi wetu tunawashuhudia sana luningani!Viongozi wetu wanaoishi huku Patanumbe sidhan kama wanaruhusiwa kushiriki maana hata namba za waandishi wa habari hawana. Hilo zoez ni la Dar tu ambao hata kiongoz akienda kanisani anambeep mwandishi anakuja fasta
Na hata Clouds wenyewe hawasemi vigezo ni nini?!UDC na URC hauna performance indicators kwa maana ya kwamba hawatekelezi miradi katika ngazi zote zaidi ya kuwa ni wenyeviti wa mabaraza ya usalama katika mikoa yao.huwez ku mmeasure rc au dc katika basis ya utendaji wa kazi wa kila siku kwa maana hawana shughuli maalum zaidi ya kudandia dandia shughuli za maras na maded mara leo ni mahakimu,mara matraffic,mara mmafisa kilimo,mara maafisa maendeleo ya jamii kwa maana ya uhamasishaji.Kiufupi watu hawa hawana work plan na hawapimiki kabisa!Labda muwapime katika eneo la frequency ya kuonekana kwenye runinga!
Hawachelewi kusema waziri bora ni Mwita Waitara!Anatafutiwa kik mtu ........
Hao wanataka kujikomba tu.....
Ova
Hahahaa...... Fyekeleaa mbali!Wasimsahau kwenye list mzee wa sukuma ndani
Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.
Source Clouds 360
Inamaana wamelenga zawadi zao ziende ccm tu? bora wangeshindanisha wabunge ili kuwe na chance ya mshindi kutoka chama chochote, pia wajiangalie wasipomtaja yule bwana kuwa ni mshindi saiv atakuja na mabomu kabisaMtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri.
Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na shindano hilo kwa wakuu wa wilaya limeshaanza leo ambapo DC wa Ilala Dr Mjema na wa Kisarawe Jokate wanaongoza kwa kura.
Washindi kwa upande wa maDC watatangazwa Ijumaa hii, maRC watatangazwa Ijumaa ijayo na Mawaziri Ijumaa ya mwisho wa mwaka.
Source Clouds 360