Clouds Media kuendesha shindano la DC bora, RC bora na Waziri bora. Washindi 5 wa kwanza kuzawadaiwa!

Kiuhalisis ni kwamba mtu akishachaguliwa kuwa DC, RC au Waziri tayari huyo ni Kiongozi Bora, kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuona na kuweka vigezo vya ubora wa viongozi hao zaidi ya Rais wa Nchi. Kitendo cha kuchagua DC,RC na Waziri Bora ni kumkosoa Mhe. Rais.
Kwani ni dhambi kumkosoa?
 
h

uu ni uhuni tu kuna ma dc wanapenda sana kucheza na media ila kazi hazifanyiki na hawajafanya chochote kwao ila wale madc wanaopiga kazi kimya kimya hawawezi kuonekana n,nyie hamuoni hadi sasa wa mjini ndio wanaonekana maana wanajua kucheza na kamera huu ni usanii mwingne
Jana Magu alisema kuna ma DC/RC wanapenda kuonekana kwny ma tv ili waonekane wapo tu ila hakuna wanachokifanya.
 
hizo nafasi ni nyeti sana ila kwakuwa waliopewa wengi ni hawana uwezo, basi nafasi hizo zinaonekana kama za kawaida sana hadi kufikia kipindi cha redio kuanza kuwajadili...kweli kazi ipo!!!. Hizo nafasi zina hadhi yake kubwa sana ila wengi wa waliopewa dhamana ya kuzifanyia kazi wanapwaya......sasa inakuwa ni kituko. Alafu nchi ishakuwa na wasomi wajuaji wengi sana, hadi kudharau vitu vya msingi. Hivi wanashindanishwa watu au nafasi?:p
 
Huu ni uchemfu wa Kiwango cha A+. Kweli clouds ni Ruge , na hivi anaumwa Basi akina Ngoma wanachemka. By the way waangalie wenzao TWAWEZA wanavyo nyolewa. Believe me hapa clouds wamebugi saaana
 
Huu ni mchanganyiko wa utoto, upumbavu na upuuzi wa hali juu. Uzwazwa wa populism kuna wakati unawafikisha watu hapo. Watanzania walivyo wajinga na malimbukeni, watashiriki kwenye hizo kura mshenzi. Watu badala ya kufikiria na kufanya maamuzi kwenye mambo ya maana kwa mustakabali wa maisha yao, wanahangaika na mambo ya kishamba. Kujipendekeza ni mzigo pia.
 
Nalipinga hili shindano, kuna viongozi bora kabisa na hawafanyi mambo kwa media na nina uhakika wanaweza hata wasifikiriwe kuwa wapo. Naapa pia waziri bora atakuwa adui wa Magufuli hadi 2025.
 
Back
Top Bottom