Tetesi: Clouds kumtosa Bashite Fiesta Dar.. Waalika wakuu wa mikoa yote kasoro Dar

Hakuna RC anaetaka kurisk kazi yake kwa Mwaliko wa Ruge.....yaani kwa akili ya jamaa atawatumbua Mara tu watakapopanda jukwaani. Itabidi Ruge awakodie Uber kuwarudisha hotelini
 
Tetesi kuwa bifu huenda likafika mbali kwani clouds safari hii wamewapa ugeni rasmi wakuu wote wa mikoa inakofanyika kasoro mkuu wa Dar.. Tetesi ni kuwa fiesta Dar mgeni rasmi atakuwa mchungaji moja atakaezindua usafiri wake binafsi mpya wa angani.
Mchungaji awe mgeni Rasmi Fiesta?
 
Na dogo wa Shilawadu eti amesema Kuwa Ndoa ya Mke wa Boss wao imefadhiliwa Na Alaa siii,ILI WAMKOMOE boss wao.Sasa kwa mbilinge hiyo Huenda mambo yakawa magumu kwa wazee wa fursa mwaka huu.
 
Sidhani kama BIFU linaendelea kwa kiasi hicho kama baadhi yetu tunavyodhani kwani JUZI kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kuna habari ya RC makonda kupokea mifuko 10,000 ya cement na mtangazaji alikuwa dr.ISACK.....

N:B; mtangazaji alitangaza hiyo habari na kutaja jina la RC kwa unyonge sana.

POINT yangu BIFU linapungua polepole mpaka ikifika zamu ya FIESTA DAR tutamuona tu.

Ewe MUNGU MUUMBA tunaomba Afya njema....
 
Tetesi kuwa bifu huenda likafika mbali kwani clouds safari hii wamewapa ugeni rasmi wakuu wote wa mikoa inakofanyika kasoro mkuu wa Dar.. Tetesi ni kuwa fiesta Dar mgeni rasmi atakuwa mchungaji moja atakaezindua usafiri wake binafsi mpya wa angani.
Mnaoleta hizi tetesi mnataka Fiesta isifanyike Dar. Lazima mtakuwa maadui wa CMG.
 
Kazi rahis sana, awanyime kibali cha fiesta. Au akiwapa kibal mwisho iwe SAA kumi na mbili jion. Pia baba kam utawapa tafuta uwanja mdoooogooo.
 
Hapo ndipo intelijenia itakapo ona viakisi vya uvunjifu wa gazeti la amani na shughuli kuishia kapuni...ninewaza tu
 
Vipi taarifa za kiintelijensia zikionesha Fiesta isifanyike Dar nani ataumia?
 
Back
Top Bottom