Clouds hili la Kibonde ni Sahihi?

Clouds hili la Kibonde ni Sahihi?

Ngwajima atampotezea tu huyo.. ni bwana mdogo sana kwake
 
Kibonde hanaga akilj,,kumbuka ile skendo ya kuwadis wanachuo kuongezewa hela...watu wakachima Cv yake..mamaaa kuanzia hapo wakaachana nae maana ni elimu zero inamsumbua
 
clouds+ william malecela wana utetezi wa kidwanzi kweli, utafikiri Bashite kawaroga
 
Radio na TV clouds zinabezi sana chama fulan cha siasa
 
lione bichwa kubwa akili hamna, sijui angesoma kama dada zake ingekuaje mtu ana div four ya D mbili chupuchupu awe sawa na Daudi Bashite halafu anajifanya mjuaji sn
Hakaaa kapicha akikaonaa anajiskiajee kweli na uropokaji wake?
 
Leo asubuhi Kibonde amesikika akimkashifu Askofu Gwajima Kwamba anatumia Ganja,mimi navyoona amekifanya chombo chenu hakina maadili kwa sababu yeye mwajiriwa wa Clouds media,

Kama angetaka kuweka uwanja sawa angetoa maada kwa wananchi inayohusu kutumia vyeti ambavyo siyo vyako ni kosa au la,Wananchi ndiyo wajadili sasa mwendesha kipindi mwenyewe anapoanza kukashifu inamaanisha nini?

Clouds media huyo Kibonde unawaharibia,Siamini kabisa Kama Gwajima akiamua kufungua kesi atamfungulia Kibonde peke yake,ataifungulia Clouds media kwa sababu Kibonde ni mwajiriwa wa Clouds.

Kwa ushauri tu ingekuwa bora Kibonde angemwalika Makonda kwenye hicho kipindi ndiyo atoe majibu,hata kama atamkashifu Gwajima hawezi kuwagusa Clouds kwa sababu siyo mwajiriwa wa hapo,

Mnakumbuka yule Dada aliyeleta Mashoga kwenye kipindi chake nani alilipa faini na kuambiwa muombe radhi, Kwa nini asiyambiwe yule dada. Bro Ruge hili suala liangalie kwa jicho la pili, naishia hapa Najua Gwajima hizi tarifa anazo ila mungu ampe hekima na busara Kuhusu suala hili la Kibonde.
Hiyo radio.Na li tv lao sijawahi anagalia miaka mingi
 
Huyu jamaa ni fafafa ile mbaya, awamu ya 4 alikua anajipendekeza sana kwa JK, wakati EL anatangaza nia pale arusha yeye ndiye alikua Mc. Alianza kujipendekeza kwa EL akilenga kwamba EL angekua rais. Mara baada ya magu kuingia madarakani anajipendekeza sana kwa ccm. Anajifanya machinoo sana kila kitu anajua, mwanasheria yeye, siasa , uchumi, umbea kila kitu anajua yeye. Ngoja tupate wasifu wake tuanze kumchambua nafikiri kaishia form 4 tu huyu bashite wa clouds. Kwanza siku hizi nani anaisikiliza hiyo cloudsccm, watu wote wamehamia EFM
 
Kibonde ana matatizo ....
Nakumbuka alizingua wakati tukigoma us boom liongezwe lifike 10000 toka 5000 akasema tunataka hela za kwenda baa na Klan na mademu zetu
 
huyu kibonde anamjua gwajima kweli au kamfahamu jana tyu kazi anayo hapo
Unatuuuliza sisi au?
Kibonde kapata umaarufu tokea yupo DTV, miaka iyo ya tisini tisini, labda unasema Gwajima ndio amjue huyo jamaa, Kibonde kaanza uchakubimbi kitambo tokea kwao Upanga. Mambo ya kipuuzi mengi anayeweza huyu Kibonde, kwake kuaibika kitu cha kawaida, napenda Gwajima apambane na clouds media.
Sisi tunataka ubuyu tuuu tupate cha kuandika katika magazeti tuuuze
 
Leo asubuhi Kibonde amesikika akimkashifu Askofu Gwajima Kwamba anatumia Ganja,mimi navyoona amekifanya chombo chenu hakina maadili kwa sababu yeye mwajiriwa wa Clouds media,

Kama angetaka kuweka uwanja sawa angetoa maada kwa wananchi inayohusu kutumia vyeti ambavyo siyo vyako ni kosa au la,Wananchi ndiyo wajadili sasa mwendesha kipindi mwenyewe anapoanza kukashifu inamaanisha nini?

Clouds media huyo Kibonde unawaharibia,Siamini kabisa Kama Gwajima akiamua kufungua kesi atamfungulia Kibonde peke yake,ataifungulia Clouds media kwa sababu Kibonde ni mwajiriwa wa Clouds.

Kwa ushauri tu ingekuwa bora Kibonde angemwalika Makonda kwenye hicho kipindi ndiyo atoe majibu,hata kama atamkashifu Gwajima hawezi kuwagusa Clouds kwa sababu siyo mwajiriwa wa hapo,

Mnakumbuka yule Dada aliyeleta Mashoga kwenye kipindi chake nani alilipa faini na kuambiwa muombe radhi, Kwa nini asiyambiwe yule dada. Bro Ruge hili suala liangalie kwa jicho la pili, naishia hapa Najua Gwajima hizi tarifa anazo ila mungu ampe hekima na busara Kuhusu suala hili la Kibonde.
Chonde chonde kibonde naomba umwombe rathi gwajimaa
 
Mwenye cv ya kibonde atujuze tafadhali,,
stock-vector-plumber-with-a-large-adjustable-spanner-hand-drawn-vector-cartoon-illustration-isolated-on-white-245215189.jpg
 
Gwajima hatumii ganja tu, madawa, analala na wake za watu, kawa mchawi anatuma mapepo yaende kwa mtu na Mungu asivyokuwa mnafiki, pepo likagoma, jamaa akasema liende kwa watoto wake!!

Gwajima sio mchungaji hafanani na Yesu kwa namna yeyote ile, Kibonde kamheshimu sana kusema anavuta ganja!! jamaa anatumia kila kitu sio ganja tu

kama ni mchungaji wako pole!

kama ishu ya vyeti wiki ya tatu sasa anaongea haoni aibu mkuu wa mkoa yupo

hajaweka evidence yoyote ile anaongea tu

siku ile Gwajima alipogombana na slaa alionyesha mpaka meseji!!! this time anaongea tu! ebu kueni basi...MATAPELI wanaishi kweli

hujagundua tu kuwa hata wewe unatumia bila kujua?
Unajua mwanawani ngoma imeshatua ndani ya nyumba?Haya unayoyashuhudia sasa lipo kazini.
Gwajima alitoa agizo kwamba atakayejaribu kuingilia wakati linafanya kazi atasababisha lipanue himaya ya kiutendaji.Kuweni makini.
 
Back
Top Bottom