Clouds hili la Kibonde ni Sahihi?

Clouds hili la Kibonde ni Sahihi?

Gwajima hatumii ganja tu, madawa, analala na wake za watu, kawa mchawi anatuma mapepo yaende kwa mtu na Mungu asivyokuwa mnafiki, pepo likagoma, jamaa akasema liende kwa watoto wake!!

Gwajima sio mchungaji hafanani na Yesu kwa namna yeyote ile, Kibonde kamheshimu sana kusema anavuta ganja!! jamaa anatumia kila kitu sio ganja tu

kama ni mchungaji wako pole!

kama ishu ya vyeti wiki ya tatu sasa anaongea haoni aibu mkuu wa mkoa yupo

hajaweka evidence yoyote ile anaongea tu

siku ile Gwajima alipogombana na slaa alionyesha mpaka meseji!!! this time anaongea tu! ebu kueni basi...MATAPELI wanaishi kweli

hujagundua tu kuwa hata wewe unatumia bila kujua?
Wewe na mkemia mkuu wa serikali nani anajua unacho kisema?
 
Mimi natamani ligi ya makondakta ihamie kwa Ruge ili tuendelee kula ubuyu wa madawa
Mwanangu hii ligi hata mimi napenda upepo uamie huko ili tuone mjanja nani?
 
Na upepo ukiamia huko Gwajima atachemka, kwa sababu
Clouds Media wanamiliki ivyo vituo kwa iyo Gwajima hatachafuliwa sana na inawezekana ikawa ndio mwanzo wa Gwajima kutimuliwa pale ubungo sehemu ya Tanesco. Maana awa jamaa awashindwi kutumia ile Milard ayo kupaka sumu kila kona
Sisi yetu macho na ubuyu tuuu tunakula, maana maisha yashakuwa magumu kilichopo ni unafiki na fitina ya apa na pale
 
IMG-20140809-WA0004.jpg
 
Leo asubuhi Kibonde amesikika akimkashifu Askofu Gwajima Kwamba anatumia Ganja,mimi navyoona amekifanya chombo chenu hakina maadili kwa sababu yeye mwajiriwa wa Clouds media,
Kama angetaka kuweka uwanja sawa angetoa maada kwa wananchi inayohusu kutumia vyeti ambavyo siyo vyako ni kosa au la,Wananchi ndiyo wajadili sasa mwendesha kipindi mwenyewe anapoanza kukashifu inamaanisha nini?

Clouds media huyo Kibonde unawaharibia,Siamini kabisa Kama Gwajima akiamua kufungua kesi atamfungulia Kibonde peke yake,ataifungulia Clouds media kwa sababu Kibonde ni mwajiriwa wa Clouds.

Kwa ushauri tu ingekuwa bora Kibonde angemwalika Makonda kwenye hicho kipindi ndiyo atoe majibu,hata kama atamkashifu Gwajima hawezi kuwagusa Clouds kwa sababu siyo mwajiriwa wa hapo,

Mnakumbuka yule Dada aliyeleta Mashoga kwenye kipindi chake nani alilipa faini na kuambiwa muombe radhi,Kwa nini asiyambiwe yule dada.Bro Ruge hili suala liangalie kwa jicho la pili,naishia hapa Najua Gwajima hizi tarifa anazo ila mungu ampe hekima na busara Kuhusu suala hili la Kibonde.
Clouds ni redio na video channel inayoongoza kuajiri fafafafafafa hata vipindi vyao havina ubunifu wala utafiti kuanzia shilawadu kwa TV na redio Leo Tena pumba tu nikelele kibao kama wako living room
 
Kusemakweli kibonde ndiye anaenifanya nisiisikilize clouds mshenzi sana nadhani akili zake zimeanza kupungua Kwa ngoma aliyonayo akipewa hela kidogo tu lazima aseme mtu hata Kwa kumsingizia ana tofauti mdogo sana na TID
 
hivi radio clouds ukiondoa PJ, Simalenga nani ameenda shule pale? nahisi karibu wote ni akina bashite mwenye utetezi aniltee CV zao nadhani ni moja ya radio inayoongoza kuwa na vilaza wengi
 
Kibonde na Clouds naona walikuwa wamepumzishwa humu kwa muda mrefu.

Mnapenda kuwaponda na kuwakashifu lakini hamuachi kuwasikiliza.

Scratching my big 'ol hair-less head!
 
Na upepo ukiamia huko Gwajima atachemka, kwa sababu
Clouds Media wanamiliki ivyo vituo kwa iyo Gwajima hatachafuliwa sana na inawezekana ikawa ndio mwanzo wa Gwajima kutimuliwa pale ubungo sehemu ya Tanesco. Maana awa jamaa awashindwi kutumia ile Milard ayo kupaka sumu kila kona
Sisi yetu macho na ubuyu tuuu tunakula, maana maisha yashakuwa magumu kilichopo ni unafiki na fitina ya apa na pale
 
NAOGOPA HISTORIA YA HUYO MTU IKIANZA KUJADILIWA HAPA, NI SHEMEJI YANGU KAOA UPARENI ILA NGOJA NITAFAKARI KWANZA
 
Back
Top Bottom