Tetesi: Mwijaku kufukuzwa kazi Clouds media

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
851
1,887
Habari.

Taarifa zisizo Rasmi inasemekana mtangazaji wa clouds na chawa promax wa wasanii mbalimbali nchini maarufu kama Mwijaku.

Amesimamishwa kazi na menejimenti yake baada ya utovu wa nidhamu na ruhusa mbalimbali zisizo na sababu.

Chanzo cha Habari kilichomuhoji Juma Lokole ndiye aliyeeleza suala hili kwa kina zaidi.

Hata hivyo Mwijaku hajaweza kusikika kwenye kipindi chake cha Leo tena kwa wiki sasa.

Tuendelee kumuombea ndugu yetu


 
Habari.

Taarifa zisizo Rasmi inasemekana mtangazaji wa clouds na chawa promax wa wasanij mbalimbali nchini maarufu kama mwijaku.

Amesimamishwa kazi na menejimenti yake baada ya utovu wa nidhamu na ruhusa mbalimbali zisizo na sababu.

Chanzo cha Habari kilichomuhoji juma lokole ndiye aliyeeleza suala hili kwa kina zaidi.

Hata hivyo mwijaku hajaweza kusikika kwenye kipindi chake cha Leo tena kwa wiki sasa.

Tuendelee kumuombea ndugu yetu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tatizo uchawa wake ni wa kipumbavu,aliambia Nandy ana Ukimwi. Baba levo ni chawa anaejielewa,huwa havuki mipaka na kutukana watu.

Hapo majuzi tulisema Baba Levo anamshinda akili Mwijaku, japo kielimu Mwijaku kapita shule nayoona hakuelewa chochote, kumbe Baba Levo anavomwita harmo Kilandage anakwepa mkono wa sheria ndio akamshauri jamaa awe anamwita Mond Mwambino asijekustakiwa maana alikuaga anaropokwa jina la diamond kila siku, kuna chawa ukiona ana akili unajua kabisa mbona madili mengi Baba Levo anapata unajua ameimprove siku hizi havuki mipaka kabisa
 
Hapo majuzi tulisema Baba levo anamshinda akili mwijaku, japo kielimu mwijaku kapita shule nayoona hakuelewa chochote, kumbe Baba levo anavomwita harmo kilandage anakwepa mkono wa sheria ndio akamshauri jamaa awe anamwita mond mwambino asijekustakiwa maana alikuaga anaropokwa jina la diamond kila siku, kuna chawa ukiona ana akili unajua kabisa mbona madili mengi baba levo anapata unajua ameimprove siku hizi havuki mipaka kabisa
Mwijaku ni zero brain, huyo alivujisha video za uchi na za mzagamuo za Menina, kumbuka alikuwa mpenzi wake huyu.
 
Mwijaku ndo huu
1674380430037.jpg


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom