Unajua fani ya utangazaji bongo imekuwa kama usanii, kwa kusikika redioni jamaa hawa wanajiona matawi kinoma. kibaya zaidi badala ya kutangaza habari nzuri za mambo ya maana. wanakaa wanapiga porojo za vijiweni. Hawana kitu hawa kazi kujipendekeza tu kwa watu.
Duh! hii kali mkuu, ameibeba familia yake kwa utajiri wa mkewe?....Gadner anategema biashara za mkewe wake akiwa kwenye kipindi cha jahazi huwa muda wote ana promoti kazi za mkewake, asipo kuwa studio utamkuta anashinda kwenye pub ya mkewe pale sinza na nduguze wanasimamia biashara ya shemehicho walikuwa wanakaa upanga karibu na skauti.
Mwenye data zaidi aendelezeji...
Kibonde na mwenzake hakuna hata mmoja aliyesomea taaluma ya uhandishi w habari ni ujanja wa mjini ndio unawafanya waihi, kibonde anategemea kazi ya MC na huyo mwenzia anategema biashara za mkewe wake akiwa kwenye kipindi cha jahazi huwa muda wote ana promoti kazi za mkewake, asipo kuwa studio utamkuta anashinda kwenye pub ya mkewe pale sinza na nduguze wanasimamia biashara ya shemeji.
Kibonde ni mtoto wa nje ya ndoa na pia alisoma muhimbili primary alimaliza 1989 baada ya hapo sijui alikwenda shule gani ya sekondari kipindi hicho walikuwa wanakaa upanga karibu na skauti.
Mwenye data zaidi aendeleze
...mbona kama wamepatia?? 😉😉😕
yes,ni muhimu kujua elimu. Kuna mtu ana full data za hawa?ephraim na gardner wana elimu gani???,mwenye kujua anijuze
kuna jukwaa la maselebu,ambalo najua kwa namna moja ama nyingine wao wanahusika kwasababu wanapenda u-celebrity.sasa inapotokea celebrity mmoja anajadiliwa haina maana kama watu hawana hoja,ni kwamba hoja bado zipo na zinaendelea kujadiliwa,muda huo huo akiwa anajadiliwa mtu,ukiingia jukwaa la siasa,kimataifa,habari,sayansi,udaku,matangazo bado utakuta kuna mada na watu wapo wanamwaga pwenti tu,tatizo lao hao jamaa wanataka uwasifie tu ukiwakosoa basi hufai,na wanaingia humu mpaka waambiwe kuna mada inawahusu,na wakiingia wanasoma wakimaliza wakichomoka ndio basi tena kuingia tena mpaka waambiwe wameandikwa tena,sasa hapo watajuaje kama tunajadili pia mada zingine za maana??kuna mengi sana yanayozungumziwa hapa jamvini. Ni vizuri kumuelimisha kwa utaratibu mtangazaji huyo namna ya kuingia na kusoma mada mbalimbali ndani ya hii forum kisha kutoa maoni yake na sio kukurupuka.
Elimu ni suala muhimu kwake.
Mimi pia nilisikiliza kipindi na tatizo alilokuwa nalo Kibonde ni kwa nini wana JF wanaisema vibaya campaign ya CCM kuwaomba wanachama wao kuwachangia kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Kibonde alisema kakasirishwa na wanaJF kudiscuss watu badala ya kudiscuss hoja.
Aliongea kwa jazba sana na kejeli akisema watu wanaojifanya wasomi wanatumia muda mwingi kuwazungumzia watu kama yeye badala ya kujadili mambo ya msingi. In the and he ended up contradicting himself because he started to attack personalities, that is JF members instead of focusing on the issue.
Kibonde pia alikiri kuwa alipitia tuu JF kwa hiyo hakuwa na muda wa kusoma kwa makini hoja za wanajamii and he ended up making assumptions of what was actually discussed and put across. In my opinion he ended up looking like a fool instead of a smart person. Lakini kwa wenziwe wenye upeo mdogo alionekana katoa point.
Cha kuchekesha ni kuwa that same evening nikaona tangazo la Zain ambalo limemtumia Kibonde. Why would Zain want to associate themselves with someone like that! Baada ya kumuona kwenye tangazo, offer ya Zain hanivutii tena.
Kibonde just needs to slow down. Anahisi yuko juu, but October is only 6 months and we will have forgotten about him by then.