Mapenzi ya chama gani? Kwa hiyo unataka kusema kitu kinaweza kuwekwa public zaidi ya mara moja?
Huna discipline ya kufikiri unataka kuwa political commentator!
Kwa vyovyote vile Clouds hawana kosa hata kidogo katika kuicheza audio ya hiyo video. Hawana makosa. Hawana makosa. Hawana makosa. Ni unazi tu wa watu unaoghubika bongo zao kufikiri kimantiki zaidi.
Je,kesho wakiweka CD ya Ilunga kisha watu wakahamasika na kuanza kuua tutamlaumu nani? Acheni upumbavu media has impact to inflict social misery.Ndilo tatizo la nchi kuendeshwa bila miiko,huwezi kulinganisha JF na kituo cha redio au television kwenye kuhamasisha jamii kufanya jambo fulani.Hapa TCRA wakiwafumbia macho, kesho Radio ya dini fulani itaweka CD ya upande wa pili ili waamini wao wasikilize then itakuwaje? Rejea National Security Act inasema nini kabla ya kushabikia upumbavu huu.Mpaka sasa hata ninyi mnaoshabikia hamjui aliyerelease hiyo video ni nani, Mwigulu anazo CD nyingi wala hampiganii azipeleke kwenye vyombo vya usalama na aeleze amezipataje ila mnashabikia ujinga wa watu wachache wanaotengeza matukio ili kulinda maslahi yao.Nini hatma ya elimu,gas na uranium?
Hivi ni sahihi kwa JF kuendelea kuiachia hiyo video kwenye huu uzi?
Nasema JF ifungiwe mara moja kwa kukiuka maadili ya Mtanzania.
Chifu, wapi nimesema Clouds wana makosa?
Mimi nilisaidia tu juu ya muendelezo wa maswali yaliyofikia hadi kwenye swali ulilouliza, "YouTube nao walikosea"? Kwa hiyo mimi nikatoa kidogo ufafanuzi juu ya hilo swali.
Mimi sina shida ya hiyo video kurushwa ama kuonyeshwa na kituo cha redio au TV, ama mitandao ya kijamii. Wala sina sioni kosa la Bukoba Boy aliyeweka hiyo video mule YouTube.
Je,kesho wakiweka CD ya Ilunga kisha watu wakahamasika na kuanza kuua tutamlaumu nani?
Acheni upumbavu media has impact to inflict social misery.
Ndilo tatizo la nchi kuendeshwa bila miiko,huwezi kulinganisha JF na kituo cha redio au television kwenye kuhamasisha jamii kufanya jambo fulani.
Hapa TCRA wakiwafumbia macho, kesho Radio ya dini fulani itaweka CD ya upande wa pili ili waamini wao wasikilize then itakuwaje? Rejea National Security Act inasema nini kabla ya kushabikia upumbavu huu.Mpaka sasa hata ninyi mnaoshabikia hamjui aliyerelease hiyo video ni nani, Mwigulu anazo CD nyingi wala hampiganii azipeleke kwenye vyombo vya usalama na aeleze amezipataje ila mnashabikia ujinga wa watu wachache wanaotengeza matukio ili kulinda maslahi yao.Nini hatma ya elimu,gas na uranium?
Ni sahihi kwa JF kuicha tuingalie kama video ni ya uongo mna wasiwasi gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
Ni sahihi kwa JF kuicha tuingalie kama video ni ya uongo mna wasiwasi gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
Wasiwasi wangu tumeletewa sinema fake, sasa kama ni ya uwongo niangalie ya nini?. Hata ile picha ya Ze Utamu iliyomwonesha mkuu wa kaya wakimrarua niliingiwa nawasiwasi!
Chombo cha habari kama CLOUDS, hakitakiwi kuchota udaku uswahilini bila hata kupepeta. Ni marufuku na nikinyume na miiko ya taaluma ya habari. Labda kama waajiliwa (nasita kuwaita waandishi) wa CLOUDS hawajui hilo.
Msitufanye wajinga!Basi hata video ya mauaji ya Daudi Mwangosi nayo iwekwe hewani alafu tuone kama kuna mtu atakamatwa au kuhojiwa!
Uhuru wa vyombo vya habari hapa bongo ni wa kinafiki!Jiulize hii clip ingehusu viongozi wa chama tawala ingefika hapa ilipofika au kuna kiongozi yeyote wa chama tawala angekamatwa?
Zile picha za mauaji ya Mwangosi si ulikuwa ushahidi tosha ila mbona hakuna aliekamatwa wala kuhojiwa?
Binafsi, sipingi Lwakatare kuhojiwa, ila napinga huu "unafiki" na hii "doule standard" ya kijinga.
Mi wala sina wasiwasi - swali langu lilikuwa sarcastic tu.
Safi sana,na ngoja iwekwe
ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda
kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa
wamemtoa jicho kibanda
Safi sana,na ngoja iwekwe
ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda
kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa
wamemtoa jicho kibanda
Hapa hatuongelei ushabiki; ndani ya Chadema wapo wauji wengi na wanajulikana
Chama
Gongo la mboto DSM
Chombo cha habari kama CLOUDS, hakitakiwi kuchota udaku uswahilini bila hata kupepeta. Ni marufuku na nikinyume na miiko ya taaluma ya habari. Labda kama waajiliwa (nasita kuwaita waandishi) wa CLOUDS hawajui hilo.