CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

Status
Not open for further replies.
majebere ninayemkumbuka alikuwa akivuta sigara haramu miaka ya 88 hadi 90.
 
kuweza kumiliki chombo cha mawasiliano ya umma ni hatua moja.kujiridhisha kuhusu weledi wa wanahabari nalo ni jambo jingine kabisaa.wengine tulishaacha kusikiliza redio za aina hiyo miaka mingi na hatukupungukiwa.
Kuna vyombo hata ukinukuu taarifa zao kwenye jamii ya ustaarabu utaonekana hujaanza hatua za kuwa mweledi wa kitu chochote!CLOUDS walikuwa wazuri walipofanya walichokijua zaidi YAANI disko la mwisho wa wiki mkoa fulani wa kaskazini ya tz!
 
Watavuka daraja watakapokutana nalo
 
Yeah, iko kwenye public domain tayari. Kosa ni kwa sababu tu Clouds radio wameicheza leo. Ingechezwa tuseme na Times FM wala isingekuwa ishu.

Ndicho mimi ninacho shangaa. Kosa ni lipi haswa kwa Clouds kuicheza? Kila mtu ameshajua there is such a thing na Clouds kama chombo chochote cha habari kinatoa scoops. Sasa huyu anaesema sijui video ikija kuwa feki ni sawa sawa na kusema usicover kesi ya mtu fulani maana anaweza thibitika hana hatia.
 

Ilishawekwa JF.

JF Tayari ni public domain.

Kama unataka kulalamikia audio clip kuwekwa kwenye public domain anza na aliyeiweka JF.

Huwezi kuacha mtu mmoja kaweka kitu katika public domain, ukambalasa mwingine aliyekichukua katika public domain na kukisambaza katika public domain zaidi.

Kwa sheria gani?

Hii ni habari, Clouds ni wanahabari.

Kwa nini unataka kuminya uhuru wa vyombo vya habari.

Granted, Clouds is a house of madness, lakini, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Kama hakuna sababu muhimu ya kufanya tofauti, mara zote nasimamia uhuru wa vyombo vya habari.

Hata kama chombo chenyewe sikifagilii kama Clouds FM.
 

kwahiyo JF kama imekosea, CLOUDS nao wanadandia kosa hilo hilo?.
 
huyo kibonde si anajipendekeza n aukada wake ,alijua kujipendekeza kwake labda kungempatia u DC!so anaendelea tu kupiga ngenga tu kama mwendawzimu
 
Hakuna ubaya wowote Clouds kurusha hiyo Clip mimi kama Mtanzania mpenda amani nawapa pongezi sana uhalifu haukubaliki Tanzania ni nchi ya amani.

Wewe ndiye mpenda AMANI?.
 

Bifu la ant virus ya sugu nyie hamjui .
 
Tuone kama atapa ukuu wa wilaya
 
Kama JF imekosea YouTube je? Na kama YouTube imekosea huyo aliyeipandisha huko je?

mlolongo huo wa makosa kuanzia chanzo, U-tube hadi JF hauipi tiketi CLOUDS kujiunga nao!.
 
Hii imewakalia pabaya wazee lazima mkubali tu. Lawama hazisaidii kwani cdm ni malaika?
 
Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda

lazima utakuwa mke wa kinana, CHADEMA haina jinsia haiwezi kukunyang'anya mumeo tulia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…