toooka liiiini???kwani hao wa nje hawawezi kukopi clouds ?
Kusaga ana ndugu zake wako Marekani nafikiri ndio huwa wanakopi vitu kutoka huko na kumletea
Well said..binafsi cjaona tatizo kuiga kitu kama hicho kwani contents za vinavyozungumziwa ni tofauti kabisa na wanazungumza katika mazingira ya kwetu..it is the content that matters..kibonde hayupo PB jamani ameigiaje hapa..duh mshikaji ana damu ya kunguni!!Oooh, c'mon people! What happened to the word 'inspiration'??
Jamii mbalimbali duniani zinazungukwa na mambo mbalimbali yanayofanana. Majina ya miji, watu, vitu, hata vipindi kuna pahala yatafanana kutokana na jamii hizo kuongelea au kukabiriwa na vitu hivyo hivyo.
Majina ya vipindi hata station vikifanana, si dhambi jamani. In fact, pahala pengine unakuta hakuna alternative ya kuita kipindi au station jina tofauti na station ya nchi jirani. As long as content ya kipindi inakuwa original na ina reflect maisha locally, sioni kikwazo kipo wapi.
Mlimani TV nao walikwimba Hekaheka kutoka Citizeni hata kutangaza jamaa walikuwa waki copy na ku pasteCreativity ya wabongo bana inachekesha.....clouds fm ya powerbreakfast wanba segment yao moja inaitwa JICHO LA NG'OMBE hawa jamaa wamekwiba toka kipindi maarufu cha BULL'S EYE cha NTV kenya......
YouTube - Bull's-Eye: Fungua roho
hahahahha ...kimewacost lakin