na akili zao zimejaa lumumba..kwikwikwi!!!naomba namba yake nimtukane....................!!!!! anyway sugu kashasemaga hiyo redio haina watangazaji wote waganga njaa tu!!!!!!!!!!!! k..nina zao. huyo naye eti ni mwandishi nonsense!!!!!!!!!!
naomba namba yake nimtukane....................!!!!! anyway sugu kashasemaga hiyo redio haina watangazaji wote waganga njaa tu!!!!!!!!!!!! k..nina zao. huyo naye eti ni mwandishi nonsense!!!!!!!!!!
Malalamiko yangeeleweka angalau kidogo kama nchi ingekuwa na Radio moja bila kujali kama niya binafsi au la. Haya malalamiko yanaletwa kudai Radio inajichulia majukumu ya watanzania wote ni kuonyesha jinsi mlalamikani asivyoitumia haki yake aliyopewa kikatiba ya kuwa na CHOICE katika maisha. KWA NINI ANANG'ANG'ANIA KUSIKILIZA RADIO HIYO HIYO WAKATI KUNA RADIO ZINGINE. Hajui kuilazimisha Radio kusema kile anachotaka kusikiliza ni kuinyima Radio Cloud's FM haki yake ya kimsingi kama ilivyoainiswa ndani ya katiba.
Mawazo ya mleta mada yamekaa kidikiteta dikiteta
kama analosema huyo mtangazajini kweli kutokuwaonyesha wananchi yanayosemwa bungeni ndio sawasawa, basi hata redio yake nayo isitangaze ili wananchi tusisikie chochote kinachosemwaMtangazaji wa Clouds FM Radio leo asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast - Jicho la ng'ombe amesema ni sahihi kabisa kwa bunge kutooneshwa live kwa sababu wao wanaamini ndio sababu ya wabunge kuvunja kanuni za bunge kwa kupoteza muda kujadili mambo yasiyo ya msingi na kuacha yale ya msingi.
Anasema kwa sababu wanajua wanaonekana basi mbwembwe, madoido, mihemko, mshawasha na mengine mengi yamekuwa yakifanywa na wabunge isivyo kawaida.
Anadai anashukuru kwa katibu wa bunge kuliona hilo.
Wazo langu:
Je, mtangazaji huyu anajua maana ya demokrasia? Haki za binadamu? Katiba ya jamuhuri ya Tanzania 1977?
Na anachoshabikia ni kwa maslai ya taifa? Je, anachokubaliana nacho ndicho walicholenga walioleta swala la kutoonesha bunge live?
Mtangazaji wa Clouds FM Radio leo asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast - Jicho la ng'ombe amesema ni sahihi kabisa kwa bunge kutooneshwa live kwa sababu wao wanaamini ndio sababu ya wabunge kuvunja kanuni za bunge kwa kupoteza muda kujadili mambo yasiyo ya msingi na kuacha yale ya msingi.
Anasema kwa sababu wanajua wanaonekana basi mbwembwe, madoido, mihemko, mshawasha na mengine mengi yamekuwa yakifanywa na wabunge isivyo kawaida.
Anadai anashukuru kwa katibu wa bunge kuliona hilo.
Wazo langu:
Je, mtangazaji huyu anajua maana ya demokrasia? Haki za binadamu? Katiba ya jamuhuri ya Tanzania 1977?
Na anachoshabikia ni kwa maslai ya taifa? Je, anachokubaliana nacho ndicho walicholenga walioleta swala la kutoonesha bunge live?
clouds majinga tu