Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

Status
Not open for further replies.
makanjanja at work.!nashauri ka serikali haiwezi kuifungia hiyo redio kwa kuhamasisha umajinun basi wananchi tuende tukaifungie kwakua madaraka yote ya serikali yanatoka kwetu.
 
Mtindo wa kutoa namba za simu hadharani za wale wanaotumia ofisi zao kukwamisha na kukwaza harakati za mabadiliko chanya ya nchi hii umeonekana kupata mafanikio kwa Spika na naibu wake.
Hebu wekeni namba za hawa watu hadharani ili wapewe somo na wananchi waathirika na matumizi yao mabaya ya airtime. Hiyo ndiyo dawa pekee ya kuwafikia wale wote wasio penda kuelimishwa kistaarabu.
 
Mtangazaji wa Clouds FM Radio leo asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast - Jicho la ng'ombe amesema ni sahihi kabisa kwa bunge kutooneshwa live kwa sababu wao wanaamini ndio sababu ya wabunge kuvunja kanuni za bunge kwa kupoteza muda kujadili mambo yasiyo ya msingi na kuacha yale ya msingi.

Anasema kwa sababu wanajua wanaonekana basi mbwembwe, madoido, mihemko, mshawasha na mengine mengi yamekuwa

yakifanywa na wabunge isivyo kawaida.

Anadai anashukuru kwa katibu wa bunge kuliona hilo.

Wazo langu:
Je, mtangazaji huyu anajua maana ya demokrasia? Haki za binadamu? Katiba ya jamuhuri ya Tanzania 1977?
Na anachoshabikia ni kwa maslai ya taifa? Je, anachokubaliana nacho ndicho walicholenga walioleta swala la kutoonesha bunge live?

teh teh teh,Kilaza mwenzenu amegeuka kauli yake? na nyie mnakubali kuwa malaya!!!!!!!!!!!!. ha ha ha haha
 
na radio za namna hii tuwe nazo makini sana.

redio ya wanafiki,waongo,wachochezi,waliojitoa u tanzania kwa ulafi wa pesa,watumwa,wapotoshaji,wafitini,matapeli,wezi,walanguzi,ndumila kuwili,nimechoka kusikia ujinga wa clouds namisukule yake mimi hata leo ukinipa bomu ukaniambia nikajilipue clouds nakubalii kabisaa cuz najua inavogharimu kizazi cha watz.
 
kwa upande wangu niivi, mawazo aliyo yatoa mtangazaji kulingana na upeo wake nisahihi lakini pia kikatiba pia nadhani yu sahihi. sema yawezekana baadhi ya watu tukawa tuna hitaji tu kusikia mambo yenye muelekeo wa ina flani ili kuona kuwa redio hii ni sahihi au mtangazaji huyu ni sahihi. Hoja sio mtangazaji kasema nini, kwani yeye akisema ndo bunge kweli alionyeshwi? na je kwani huyo mtangazaji ana power yakuwa shawishi watanzania wote wa muamini kuwa akisemacho ndo cha kweli au cha manufaaa? yeye ka sema yake nasisi tu seme yetu alafu mchele na pumba zita jitenga tu, tuwe wa tanzania wa kujenga hoja si wa kukashifu na kukimbilia sababu zisizo zamsingi, kama mtu umeona ameongea kitu below standard tupe mawazo yako ambayo ni high standard then tuya pime kujua la msingi ni lipi. Wao kazi yao na mawazo yao ndo hayo, je ya kwako niyapi? si kukaa nakusema eti kikamuzi changu hakishiki clauds tv, mara gadna ali handle kipindi vizuri, eti kibonde ana mwaga pumba. HUO Ndio uwezo wao wakupambanua mambo, kama anamwaga pumba shukuru kuwa umegundua ni pumba and then ignore the person by telling us what is not pumba.Bunge litaonyeshwa tu, cose hiyo sababu ya umaarufu kwangu si hoja na naamini kuwa aliyeanzisha hoja hiyo, hakujua faida za kulionyesha na kutokulionyesha bunge. faida kuu ni kwamba wananchi wanaweza kuona jinsi bunge lao linavyo endeshwa kwa kufuata misingi yake hivyo kugundua mapungufu ya bunge hilo na kutoa ushauri kuhusu nini kifanyike ili kujenga bunge bora linalo simamia maslahi ya wanachi wake. Hivyo kuliondoa luningani, ni kuwa nyima wananchi haki yao yakutaka kulikosoa bunge lao. japokuwa si watanzania wengi walio na acces ya kuona bunge hilo kutokana na sehemu nyingi za nchi yetu kutokuwa na umeme. Na fkiri juhidi zifanyike zaidi ili kuwafanya wanachi walio wengi waweze kuona shughuli za bunge lao na kulikosoa. nikazi ya bunge sasa kuyapokea mapungufu hayo na kuyafanyia kazi ili kujenga heshima ya bunge na sio kutoa lawama zisizo na msingi.naomba kuwasilisha.
 
Sasa mabwana zao leo wamewageuza (hehee) wanasema eti yule dokta wa kiduku sijui kifaduro sijui hakusema hayo. Haya majamaa majinga sana na mapumbavu, sasa yu can imagine kumbe hawa ndio aina ya 'washauri' wanaomzunguka Sultan Mangungu wa Bagamoyo! Twafwa/
 
bw Gerald Hando leo amechemka, ila nadhani ametumika tu. Tumsamehe bure. WANANCHI ndio watakoamua.
 
wale vijana wanaitaji kukunwa nafikiri
ilibidi ni-tune redio ingine kabisa nisikilize muziki tu

njaa mbaya sana
 
[/COLOR]i normally hate stupid ambiguous[/SIZE] statements like this!!!kwanini uwe wa uvuguvugu?mara unasapoti mara unapinga,maccm akili zao zimeshaharibika siku nyingi,toa utumbo wako hapa

Afadhali.
 
Unafiki na Uzandiki wa Radio Clouds Fm sasa mume wao amewageuka sasa nao sijui watatuambia nini? Hungry slave who sell their personality.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom