Wapo watangazaji waliohama toka Clouds na kwenda EFM, baada ya hapo kumefuatia vijembe vya hadharani, yaani wakati vipindi vikiendelea, wanarushiana madongo hewani.Mliosoma mnaweza kunisaidia samare........?......napenda kuujua huu mtanange........
Wapo watangazaji waliohama toka Clouds na kwenda EFM, baada ya hapo kumefuatia vijembe vya hadharani, yaani wakati vipindi vikiendelea, wanarushiana madongo hewani.
Mkuu dadavua kidogo hapo kwenye team dalikimokoSasa Watapigana Vipi Wakati Tayari Tunaambiwa Kuna Team ELTON John Na Team DALLY Kimoko?
Hehehehehe, kumbe kununua gari ni maendeleo eeh?!!Ungekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.
Mkuu dadavua kidogo hapo kwenye team dalikimoko
(Team Dallay Kimono )mmeniacha naombeni maana jamani nimepitwa kabisa, hapa team Elton John angalau nahisi kama ni mapungaSasa Watapigana Vipi Wakati Tayari Tunaambiwa Kuna Team ELTON John Na Team DALLY Kimoko?
(Team Dallay Kimono )mmeniacha naombeni maana jamani nimepitwa kabisa, hapa team Elton John angalau nahisi kama ni mapunga
Sasa Watapigana Vipi Wakati Tayari Tunaambiwa Kuna Team ELTON John Na Team DALLY Kimoko?
E EH! MCHICHA MWIBA NI YUPI TENA HUYO?!
Team dally kimoko ndo inafanyaje?au maana ipi,, iyo team Elton john inajulikana maana yake
BAAAAAAAAAS!!! UMEMALIZAA! UMESOMEKA!.@GENTAMYCINE! VITENGE KUTOKA CONGO NIMEKUELEWA SAANA!
Naona mwandishi kafikia mwisho, yuko msituni anaandaa ya piliKwani Hii Season 1 IMEMALIZIKA?