yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge wa power breakfast anaripoti habari za maeneo ya kino
wakitaja maeneo ya starehe wanayajua ya kino tu
saluni nzuri wanajua za kino tu
yard za magari wazijua za kino tu
barabara nzuri waazijua za kino tu
beach nzuri wanazijua za kino tu
kila kitu kinondoni acheni ushamba redio yenu iko country wide badilikeni bana.... Mnaboaaaa sana
tumewachoka sana........ Ndio maana mnapigwa vita