Clouds fm inaboaaaaaaaa!!! Kila kitu kinondoni!!!!

mwana umetumwa usikilize...???! mi nawashngaa sana mnaolalamikia hi radio ... mbona stations ipo nyingi..??

I agree with you. As a listener, if you don't like Clouds FM you should switch to another radio station instead of whinning
 
hapa jf kujadili mawingu fm sasa inatosha hatupumui kila leo mara iv mara vile kwan hakuna redio nyingine?
 
mmeshaambiwa hiyo redio ni local redio so ni kawaida wao kutangaza vitu vya local waliyozunguka
 
watangazaji wao wengi wametokea mikoani, sio wazawa wa dar..so bado wana ulimbukeni flani na dsm.




msarendo hapo umenena, watangazaji wengi pale wameujua mji hivi majuzi...... Lakini wanajidai watoto wa mujini sasa wanabaki kutangaza kuibiwa vifaa vya magari yao..... Itz shameful unaongea upuuzi hewani?????

mawingu fm a.k.a wakino. Kila kitu kinondoni.
 
nilikuwa siwazimiki clouds ila kama wanairusha dar es salaam (kinondoni) nimeanza kuwakubali!kinondoni ndo mambo yote!dah!clouds kumbe sometimes huongelea mambo mazuri!
 
Tafuta redio ambazo haziongelei mambo ya Kinondoni.
Hapa umemhusisha Mh.Sugu na redio hii kwanini?Nyie ndio watu ambao mnatengenezea watu bifu zisizokuwa na maana,mawingu redio inahusiana vipi na mbunge wa Kinondoni???

mwanamboka petrol station pembeni kuna nyumba huyo mjanja wao sugu ndo alikuwa anafumbia macho usiku wakati wakali wayback dunk n die za mbele sana tu!mtu katoka mtu kaingia!kitu cha brazil kitu cha pakistan!
 
Back
Top Bottom