Clouds aibu tupu Uingereza haina rais

Clouds aibu tupu Uingereza haina rais

Msaidieni,akipita hapa ajue kuwa amekosea,UINGEREZA HAINA RAIS INA WAZIRI MKUU.......naimani akipita hapa atasoma comment hii

JF ni zaidi ya unavyoijua khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Chacha njomba head of state I mean kwa Tanzania ni rais; Kwa wenzetu Wa-england oooops Wales ... .... oooops Scotland Ooops damn it! Chacha hivi head wa ... .... ok, United Kingdom kumbe wameungana hawa ni malkia lakini nasikiaga tena yeye ndio mshika mikoba kule Ooops hashiki yaani ni kinara Australia, Canada nk na wale wana waziri mkuu ati ndio chababu Bob ooops Robert Mugabe alikataa kuwa Waziri mkuu ... ... ooops hakukataa bali alibadili mwelekeo na wao kuwa na rais. ...... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kweli JF kiboko. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cloudz pale wengi ni failures, so unategemea nini
Si failures tu lakini Form IV failures.
Insasikitisha kuwa kukua kwa clouds hakuendani kukua kwa wana taaluma wa kuendesha Clouds.
Kusaga inabidi aambiwe wasikilizaji wa Clouds si wale wa madisko na watoto wadogo wenye uelewa mkubwa zaidi ya hao watangazaji waliopo.
Ni kama chekechea kuendesha darasa la sayansi.
 
What the fussy about?! Kwani hamjaulizana mkiwa shule za msingi maswali ya train za umeme na moshi wake kuelekea magharibi hali upepo ukivuma kuelekea mashariki?!
Kheee Stivu!!!Zing...nadhani wengi wetu hapo ndo huwa tunachanganya kwamba katiba ya UK haijaandikwa....baada ya kumsikia huyo kijana redioni na mm nikamuuliza mtu kuhusu hiyo katiba....hiyo link hapo ni msaada mkubwa!Btw: hivi Kusaga ajue pia na kiasi gani vijana wake wana uelewa wa General Knowledge? je kama kijana kwingine yuko fit tu na hili kakosea mnataka lawama ziwe kwa Kusaga? Binafsi namlaumu muhusika kwa kukurupuka na kupotosha watu (hasa vijana wa shule maana kipindi kinawavuta zaidi wao)
 
bht, yule dula kibajaji ni mzee wa jokes... sasa tukimchukulia sirias itakua balaa

ndio maana they ended up laughing
 
bht, yule dula kibajaji ni mzee wa jokes... sasa tukimchukulia sirias itakua balaandio maana they ended up laughing
MTM, dulla kibajaji namuelewa sana...Ila huyu wa leo (hata jina simjui) kipindi chake ni tofauti na segment ya Dulla!Ali mislead watu aisee....
 
Kweli puzzle ya kupotosha watu ni ujinga na mtunga puzzle ni mjinga.

Najua atasema hivyo, mtu mzima akibanwa atasema nilikuwa natania au
mwalimu akikosea na wanafunzi wakagundua atasema nilikuwa wanatest nione kama mmeelewa.

labda alikuwa ana maanisha rais wa shirikisho la ngumi la Uingereza, si ndio dogo kweka?

Wakuu this a well known Puzzle ambalo hawajalitunga Clouds wala sio la jana wala la leo ni la zamani sana..., Hapo mtego ni wanataka wakutege kwenye time difference ili useme masaa tofauti wakati jibu ni kwamba UK hakuna Raisi....

Wakuu Think About it...

Kuna umuhimu gani wa kuuliza mtu fulani anakunywa chai saa ngapi, je unajuaje kama anakunywa chai na sio juice au uji.. Je unajuaje anaamka saa ngapi?, kwahiyo if you think about it it was a Puzzle.., and a well known Puzzle as well
 
What the fussy about?! Kwani hamjaulizana mkiwa shule za msingi maswali ya train za umeme na moshi wake kuelekea magharibi hali upepo ukivuma kuelekea mashariki?!
Sasa hapa tupo shule za msingi mambo ya kuulizana Kenyata wa Tanzania ni?..............acheni utoto simple.
 
Mtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza
kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa,
hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?
Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.
elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.
Na wewe mleta hoja usikilize Clouds na mgeni wako wa maana utakuwa na akili timamu kweli
afadhali umwekee mchiriku kuliko kusikiza clouds.
 
Hapa kuna mawili inawezekana hajui au anajua kaamua kumchanganya mtoa jibu, mfano jogoo akitaga yai mlima kilimanjaro litaangukia wapi? Kenya au Tanzania.
Yah ni kwel ndo maana clouds hawapokei ushauri wetu sababu ya kulishwa sumu ya ubaguzi dhidi yao,tuwe waelimisha na tutawale jazba.
 
Hivi sio kipindi cha komedi hicho!
Wala hakikua kipindi cha puzzle kile.Sishangai sana maana watangazaji wengi wa CLOUDS ni Kibonde's type.Watu wenye view kama Masoud KP walishahamaga hiyo Media baada ya kugundua kua ''Sio''
 
Mtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa, hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.
Anawaokota vijiweni.
 
Msaidieni,akipita hapa ajue kuwa amekosea,UINGEREZA HAINA RASI INA WAZIRI MKUU.......naimani akipita hapa atasoma comment hii

Jamani, sidhani kwamba mtangazaji hajui kwamba Uingereza haina Rais. Nafikiri swali lililenga anayeulizwa aseme kwamba Uingereza haina Rais na hapo ndipo mtego wa swali ulipokuwa. Kwani unaamini kwamba katiba inasema Rais anapashwa kunywa chai saa ngapi?

Tiba
 
Jamani tuonyeshe ni great thinkers wa kweli basi kabla ya kushambulia kitu. Hivi hiyo hauwezi kujua kwamba ni puzzle tu ya kuchangamsha watu akili!?. Mwishowe unaye criticize ndio utaonekana ni kilaza.
 
Si ndio yale yale yakutukana kwenye vipindi
 
Kazi kweli kweli.....
atakushukuru kwa kumyongezea umaruufu..
 
Mtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa, hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.
so lucky we hide our identities. Nxt time THINK! before shaming yourself. Kweka seems to be ok upstairs. And those are weekly puzzles. The last wk he asked if 1 bald head is shaved for 5 minutes, how about 3 bald heads? And sadly ppl (students) like u fell in the trap by saying same 5 minutes and others saying 15. Nakushauri uwaombe mods waondoe hili bandiko maana litakuwa ref nzuri kwa wana jf pale utakapokula chaka tena
 
Mtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza
kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa,
hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?
Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.
elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.
Hata mimi huwa napata shida sana na radio ya clouds ,kuna siku walimshambulia mkurugenzi wa Tanesco tena kwa jina kwa maneno ya kejeli kuhusiana na mgao wa umeme,kiasi kwamba hiyo redio ingeweza hata kushtakiwa.TATIZO JINGINE LA CLOUDS LUGHA WANAYOTANGAZIA SIO NZURI,NAOMBA WAJIREKEBISHE
 
kuna watangazaji mashoga pale unategemea nini?form four failurez unategemea nini? Mashangingi wa mjini wamejaa apo unategemea nini?mashalobaro, wauza unga,matapeli nk unategemea nini?
 
Back
Top Bottom