Clouds aibu tupu Uingereza haina rais

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Mtangazaji wa Clouds kipindi kinachoendelea sasa hivi anauliza
kama rais wa Uingereza anakunywa chai saa mbili rais wa Tanzania anakunywa saa ngapi aibu kabisa,
hivi watangazaji wa Clouds wanaokotwa wapi?
Kusaga acha kuokoteleza mitaani unamwona mtu anaflow mistari ya rap unampa utangazaji kina Dorine type.
elewa cheap is expensive watakuharibia redio yako tafuta watu wenye ujuzi bana hadi tunaona aibu kusikiliza na wageni wetu.
 
Oooops! nimechoka kabisa, si ajabu hata mkuu wa mkoa wa Dar hawamjui hao!
 
Hata mimi nimemsikia anajiita Kweka P. Kweka bado kipindi kinaendelea sijui wenzake hawamstui
anasema katiba ya uingereza inasema rais anywe chai saa 2 je ya tanzania inasemaje dah ndiyo bongo yetu.
 
Msaidieni,akipita hapa ajue kuwa amekosea,UINGEREZA HAINA RASI INA WAZIRI MKUU.......naimani akipita hapa atasoma comment hii
 
Msaidieni,akipita hapa ajue kuwa amekosea,UINGEREZA HAINA RAIS INA WAZIRI MKUU.......naimani akipita hapa atasoma comment hii
 
Mkuu its meant to be puzzle na wewe umeshajibu kwamba England hakuna raisi hilo ndio jibu
Najua atasema hivyo, mtu mzima akibanwa atasema nilikuwa natania au
mwalimu akikosea na wanafunzi wakagundua atasema nilikuwa wanatest nione kama mmeelewa.
 
Hata mimi nimemsikia anajiita Kweka P. Kweka bado kipindi kinaendelea sijui wenzake hawamstui
anasema katiba ya uingereza inasema rais anywe chai saa 2 je ya tanzania inasemaje dah ndiyo bongo yetu.

Uiengereza hawana 'written constitution', it is a monarchy. Na ndio maana inaitwa 'United Kingdom. Vilaza wa Clouds!
 
Ndugu zanguni pa1 na mabaya yao hao clouds lakini msiwe bias kiasi hicho, nyinyi hamjaelewa maana yake ya kuuliza hivyo kwani lile ni fumbo na hata wao wanajua kuwa UK hakuna rais. Kwahyo maelezo ya tofaut ya masaa ni kwa ajili ya kumchanganya mjibuji.
 
Uiengereza hawana 'written constitution', it is a monarchy. Na ndio maana inaitwa 'United Kingdom. Vilaza wa Clouds!


Any thing formal or official lazima kiwe kwenye document. Hiyo concept ya kwamba UK haina wrttten constitution sio sahihi kama wengi wanavydhani. uK constitution is just not in a single document.

google upate concept nzima ya uwritne consitituon . kuanzia wikipedia wanasema hivi
Constitution of the United Kingdom - Wikipedia, the free encyclopedia
 
What the fussy about?! Kwani hamjaulizana mkiwa shule za msingi maswali ya train za umeme na moshi wake kuelekea magharibi hali upepo ukivuma kuelekea mashariki?!
 
Hapa kuna mawili inawezekana hajui au anajua kaamua kumchanganya mtoa jibu, mfano jogoo akitaga yai mlima kilimanjaro litaangukia wapi? Kenya au Tanzania.
 
Back
Top Bottom