Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,251
- 5,316
degree holder nursing atakua wapi hapo
Nurse mwenye degree basic salary ni 980K
degree holder nursing atakua wapi hapo
Nurse mwenye diploma analipwa 680000 kama clinical officernurse mwenye diploma
Acha uwongo ww hunauakika ?Duuh! Ina maana clinical officer anamzidi mwalimu wa degree mshaara:what: hatari sana hii
Kama huja ajiriwa kwanin uulize mishahara ya watu?lengo lako nn kama sio kutaka kuzarau field za watu alafu mishahara ni siri kati ya mwajiriwa na mwajiri mtu wa nje unaitaka ya nn?ni vema tukajifunza kujibu maswali ya members kama wanavyohitaji kujuzwa
Naichukia sana tabia hii ya kutoka nje ya maada
Na ni vema pia kama huna jibu la swali lake basi kaa kimya ili utoe fulsa kwa wenye majibu waseme
Narudia tena tabia hii si nzuri
Clinical officers nnaowajua hamna anechukua chin ya 800k,my mama mfano anakula 1M
Wakuu anayejua clinical officer CO anayeanza kazi analipwa sh ngapi kwa mwezi atujuze
mshahara wa CO ambaye yuko tamisemi ni 680,000,ila akiwa serikali kuu mshahara ni 120000Sio kweli hata kidog..!!
Mshahara wa C/O mwenye certificate basic salary yake ni 460000/=tsh
Wakati mwenye diploma basic salary ni 650000/= TSH Hapa nazungumzia kwa govt.
Hamana C/O Mwenye mshahara unaofika wa milion moja. Labda awe AMO (assistant medical officer) na hawa AMO ndiyo tunawaita madaktar wasaidiz ila sio C/O Hawa huitwa waganga
Sent using Jamii Forums mobile app
mshahara wa CO ambaye yuko tamisemi ni 680,000,ila akiwa serikali kuu mshahara ni 120000
Sent using Jamii Forums mobile app