Xidian
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 503
- 149
Acha kudanganya watu, kama CO analipwa 1m je AMO kiasi gani?MD atalipwa kiasi gani? Inawezekana huyo unayemusema akawa amefanya kazi kwa mda mrefu na walakini yuko karibu kustaafu hiyo ni sawa maana kuna increment ya kila mwaka , otherwise starting salary for CO haizidi laki 5. Period