Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

Acheni upotoshaji Nyie mwalimu mnayemzungumzia hapa wa ngazi ipi ya uwalimu ikiwa hajui vitu muwe mnanyamaza kwa tarifa yenu msiojua salary za walimu mkae mkijua Kuna walimu wanachukua salary take home milioni na kitu mishahara mnauoisema Nyie ni kwa mwalimu aliyeanza ajira hata hivyo nurse wa cheki na mwalimu wa cheti mishahara ipo sawa mkae mkijua msiwe mnadanganyana
clinical officer anaanza na 630,000.00
salary scale za afya ni tofauti na za kada nyingine hata nurse mwenye dip anampita mwalimu mwenye masters huku serikalini
 
Mashirika ya umma yanalipa vizuri zaidi, nenda kafanye kazi kwenye hospitali za mashirika au vyuo hutakosa laki8 ya kuanzia
 
Mishahara inapangwa kwa kuzingatia kitu kinachoitwa JOB EVALUATION, ndio maana mnaweza wote mkawa mna degree ya kwanza lakini mwingine labda ya uchumi, mwingine HRM, mwingine ICT nakadhalika , mlimaliza pamoja chuo kimoja siku moja lakini mnatofautiana mishahara kutokana na hiyo JOB EVALUTION
Hiyo job evaluation imewaonea sana walimu kusema ukweli
 
Sikilizeni vijana wenzangu...sio lazima kuajiriwa serikalini..kwanza mishahara ni midogo mno..ukijiajiri huo mshahara unaweza ukaingiza ndani ya siku 3..sasa kwanini msubirie hadi mwisho wa mwezi ??

Amkeni
Wengine hatuna mbinu za biashara mkuu
 
Daah gap kubwa sana

Degree 1,480,000

Diploma 680,000

Mara mbili kabisa[emoji3][emoji3]
 
Bado watu walio soma sayansi na engineering kuanzia diploma kwenda juu wana mishahara mizuri
 
CO anaanza Na 610,000/ ambayo Ni TGHS B1.Makato Ni Income tax 14%,LAPF 5%,NHIF 3%.Na nyengine watumishi wa serikali watanisaidia.
 
Laki 680000 ukishakatwa makato yote unabaki na 547000
 
Duuuh kweli nimeamini jeshini kuzuri mnataja elimu ambayo hata ciielewi yaani mara diploma mara degree maara nini ila naona kabisa pesa ninayoipata kwa elimu yangu ni zaidi ya hizo mnazozitaja kweli huwez lipwa uhai bali ile ni posho kama wasemavyo wao
 
Sio kaki saba serikalini anaanzia TGHSB Ambayo inaanza na shahara wa 680, 000 kabla ya makato . baada ya kukatwa katwa anabaki na laki tano nazaidi
Mkuu na assistant accountant mwenye diploma analipwaje.ahsanteh
 
Na Zaidi Ya Hapo Mkuu, Kumbuka Doctor Wa Degree(MD) Anaanza Na Zaidi Ya Mil1 Serikalini, AMO Yaani Assistant Medical Officer Anaanza Na Zaidi Ya Laki 8. So Clinical Officer Kwake Ni Halali Yake. We Ulizia Hata Nurse Wa Diploma Analipwaje Ndo Utashangaa.
nurse mwenye diploma
 
degree holder nursing atakua wapi hapo
Na Zaidi Ya Hapo Mkuu, Kumbuka Doctor Wa Degree(MD) Anaanza Na Zaidi Ya Mil1 Serikalini, AMO Yaani Assistant Medical Officer Anaanza Na Zaidi Ya Laki 8. So Clinical Officer Kwake Ni Halali Yake. We Ulizia Hata Nurse Wa Diploma Analipwaje Ndo Utashangaa.[/QU
 
Back
Top Bottom