Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

Rais Magufuli afanye salary scale review kwa civil servant maana hali ni tete aisee. CO anachezea arround laki 5 kweli!? Ilhali kuna mfanyakazi wa serikali hajachukua mshahara tangu april 2013.. This is tottaly unjustice.
 
700,000/= Serilikalini, Private Ni Zaidi Ya Hapo. Nimeona Salary Slip Ya Mdogo Wang Kaajiriwa Last Year.
Sio kaki saba serikalini anaanzia TGHSB Ambayo inaanza na shahara wa 680, 000 kabla ya makato . baada ya kukatwa katwa anabaki na laki tano nazaidi
 
Sas kama basic laki 630 anampitaje mwalimu mwenye degree basic laki 710. Think Big msizarau kazi za watu
 
Tupo sambamba chief, hiyo 630 ilikuwa mwaka jana kabla ya increament ya July, so itakuwa hao wa dip ya afya kwa sasa ni 716 sawa na mwl wa degree. Sema hao wa afya bado wanatupiga magap wana visemina vingi, rushwa pamoja na vi overtime kibao. Mwalimu ni kutegemea mshaara tu.
 
Wala hamjawazidi diploma afya basic 6800000
 
Sikilizeni vijana wenzangu...sio lazima kuajiriwa serikalini..kwanza mishahara ni midogo mno..ukijiajiri huo mshahara unaweza ukaingiza ndani ya siku 3..sasa kwanini msubirie hadi mwisho wa mwezi ??

Amkeni
 
Tupo sambamba chief, hiyo 630 ilikuwa mwaka jana kabla ya increament ya July, so itakuwa hao wa dip ya afya kwa sasa ni 716 sawa na mwl wa degree. Sema hao wa afya bado wanatupiga magap wana visemina vingi, rushwa pamoja na vi overtime kibao. Mwalimu ni kutegemea mshaara tu.
Ukumbuke increment inapanda kila July kwa watumishi wote serikalin mkuu haiwezi ikapanda kwa watu wa afya tu walimu isipande
 
katika afya NGAZI YA DIPLOMA KADA ZOTE WANALINDA Ngazi ya mshahara
Mishahara inapangwa kwa kuzingatia kitu kinachoitwa JOB EVALUATION, ndio maana mnaweza wote mkawa mna degree ya kwanza lakini mwingine labda ya uchumi, mwingine HRM, mwingine ICT nakadhalika , mlimaliza pamoja chuo kimoja siku moja lakini mnatofautiana mishahara kutokana na hiyo JOB EVALUTION
 
Tupo sambamba chief, hiyo 630 ilikuwa mwaka jana kabla ya increament ya July, so itakuwa hao wa dip ya afya kwa sasa ni 716 sawa na mwl wa degree. Sema hao wa afya bado wanatupiga magap wana visemina vingi, rushwa pamoja na vi overtime kibao. Mwalimu ni kutegemea mshaara tu.
Sema hapo kwenye seminar ndo wanapo wapiga bao ila kwa mshahara hapana
 
Back
Top Bottom