Habar zenu nahitaji ushauri wenu Kwa niaba ya rafiki yangu.
Ni hivi Nina rafiki yangu aliesoma ualimu ngazi ya cheti alimaliza mwaka 2018 lakini hakubahatika kupata ajira akasomea Short course ya tourism na akapata ajira kwenye kampuni niliyokua nikifanya kazi akawa anapokea salary ya 480000 plus marupurupu Kila mwezi.
Lakini June alipata kazi ya ualimu akapangiwa vijinini akaomba likizo ya miezi mitatu kazini akaenda kureport Sasa amerudi anasema mazingira magumu anataka aache ualimu arudi kazini Mimi nimeshindwa kumshauri chochote Kwa kuwa
Kwanza sijui mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti ni shilingi ngapi
Pili sijajua ni jinsi gani au baada ya muda gani atapanda daraja
Tatu sijajua ni baada ya muda gani ataweza kupata uhamisho arudi mjini
Naomba mnisaidie muongozo ili niweze kujua namsaidiaje bila kukurupuka
Asanteni