ChiefNaomba Muongozo, nimekuwa nafatilia sana timu za wanawake huko nje, na timu yangu pendwa ni chelsea women.. asilimia kubwa wachezaji wote wanakuwa na mionekano ya kike.(wazuri) ila hapa bongo ukisikia kuna binti anacheza mpira basi usiangaike kujua anafananaje! total kama mwanaume! shida ni nini?
Hata akina Corazon wa Simba hujawaona kweli....?