Clara Luvanga: Wanaume wanaogopa kunitongoza

Clara Luvanga: Wanaume wanaogopa kunitongoza

Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Aahh tuache masihara huyo hata angevaaje au angejiwekaje hakuna mwanaume rijali angedate naye na kusema kabisa eti naye ana mwanamke, kwanza ana sauti nzito kama mwanaume na hana maziwa wala matako na sura ndio kama unavyoiona, sasa kwa wanaume wetu hawa wanaopenda hayo mambo nani atakubali kuwa naye mi naona hao waacheni tu wajiweke wanavyoona wao inafaa kwakweli
 
Naomba Muongozo, nimekuwa nafatilia sana timu za wanawake huko nje, na timu yangu pendwa ni chelsea women.. asilimia kubwa wachezaji wote wanakuwa na mionekano ya kike.(wazuri) ila hapa bongo ukisikia kuna binti anacheza mpira basi usiangaike kujua anafananaje! total kama mwanaume! shida ni
 
Attachments

  • Screenshot_2025-05-30-21-55-22-45_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2025-05-30-21-55-22-45_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    91.9 KB · Views: 9
Kuna jamaa alishambuliwa sana mtandaoni miaka fulani alicoment kwenye post ya Selena yule mcheza tennis kua anaeichapa ile pisi basi anaweza chapa hata punga maana hana tofauti na Me. Alishambuliwa sana yule bwana.
Ila Serena alivostaafu akaacha mazoezi alikaa kike umbo zuri la kibantu na sura ikawa ya kike kabisa
 
Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Mjomba mpoto anakula TU sasa hatungi Tena nyimbo.Ila ukiendekeza tumbo utakufa kwa aibu na fedheha mbele ya wazalendo
 
Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Baby ndio maana nikakupenda wewe tu!
 
Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Mwenye mdomo kama anaonja chumvi kwenye mboga iliyokosa nauli ya kwa ankali?
 
Back
Top Bottom