Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,608
- 6,847
Hapa unaikuta sio main road kabisa
Hii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....😋
Hii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....😋
dunia iko confused, wanawake kama wanaume na wanaume kama wanawakeStaa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
Dah! Umetisha sana muhuni , nililioteaga moja kwenye harakati zangu dah! ratiba likawa linaandaaga lenyewe tu .Hii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....😋
Umepotea jukwaaYote haya sababu ni hiki chama
Umetoka kuswali insha lakini Ostadh 😹Ye angekuwa mwanaume sngetongoza mwanamke km yeye?
Ajiweke kikike, nguo za kike, kawigi, make up.. wahuni wanaishi nae, asubuhi akienda kuoga make up imetoka, haina tabu muhuni akikumbuka PAPA wemba ilivyo tamu na michezo qnaiweza, anabaki demu wa mafichoni.
Hakuna insha ya saa hizi ostadhat wangu, hapa nataka nikachukue udhu nikaswali juma'a 😂Umetoka kuswali insha lakini Ostadh 😹
Yaani nitongoze uso wa mayele kabisaaaaaa!Staa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
Mazoezi na vyakula, vyakula vyetu vina jenga mwili ukiwa unafanya kazi ngumu kidogo tu bila ata kwenda Gym, kingine Mazingira ya malezi ya familia.Naomba Muongozo, nimekuwa nafatilia sana timu za wanawake huko nje, na timu yangu pendwa ni chelsea women.. asilimia kubwa wachezaji wote wanakuwa na mionekano ya kike.(wazuri) ila hapa bongo ukisikia kuna binti anacheza mpira basi usiangaike kujua anafananaje! total kama mwanaume! shida ni nini?
Mjomba anaitwa mrisho mpotoSawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Hatuogopi tuna hofia😂Staa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kuuohopmtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
Tena kuwezekana kwenyewe iwe ni kwa wale vijana wavivu ma mariooAkiamua kujiweka kike inawezekana...
Ndio wanaitwa mtu na nusu Huyu akilala na yule boya Dk kumbuka au anko T si anawatia mimba kabisa?Hivi huyu ni mwanamke kweli?