Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,294
- 46,036
Mazoezi ndio yanawakomaza, hata huyo Clara akiacha mazoezi makali atakua pisi kali tu.Ila Serena alivostaafu akaacha mazoezi alikaa kike umbo zuri la kibantu na sura ikawa ya kike kabisa
Mazoezi ndio yanawakomaza, hata huyo Clara akiacha mazoezi makali atakua pisi kali tu.Ila Serena alivostaafu akaacha mazoezi alikaa kike umbo zuri la kibantu na sura ikawa ya kike kabisa
Hivi ushapata mchumba au Bado?
unaanzia wapi kumtongoza na sura hiyo, hebu avae viatu vya mwanaume aone kama angeweza, mtuoneage hurumaStaa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?View attachment 3350479
Bro ww ni mtu wa tofauti sanaaa 😂😂😂😂Hii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....😋
Huyu mh.... Kuna kitu beyond mwonekane wake au mazoezi au namna anavyojiweka. Mbona kuna wachezaji wa kike wengi tu wenye kufanya mazoezi lakini wana mwonekane wa kike.? Ni kama yule mnyanyua vitu vizito. Kuna namna kwenye maumbile yao.....Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Ni ''basha'' bila shaka.Bro ww ni mtu wa tofauti sanaaa 😂😂😂😂
Halafu hadi papa nayo si inakakamaa kwa misuli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yuko wapi namwona Ngolo cant`e
Mh mjumbe inabidi tukufunge speed governor [emoji1]Hii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....[emoji39]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo unalazimika kumtoumber ukiwa umefumba macho halafu unavuta taswira ya mlimbwende mwingine hukooo
Kwanini mkuu....😜Bro ww ni mtu wa tofauti sanaaa 😂😂😂😂
Mh mjumbe, hapo naomba mniingilie kabisa wala sitaki ushauri..🤣Mh mjumbe inabidi tukufunge speed governor [emoji1]
mia mia ,mwenyewe kabisayuko wapi namwona Ngolo cant`e