Malcom X ingawa familia ya malcom inaamini national islam(NI) ndio wamehusika kumuua, one member of NI john ally was undercover spy of FBI
Alifanya kama Kanumba vile, alijiunga na wale jamaa ili apate kick ya kutokea alivyo wageuka tu ndo wakafanya yao.Unaweza kuwa na point nzuri, jaribu kufunguka kidogo alikula nn na ilikuwaje
We all know that Walter Rodney taught at the University of Dar es Salaam for a number of years before his sudden death in 1980. After his death to recognize his life and work, several academic institutions have been holding conferences/symposiums, inaugrating lecture series in his name, establishing awards of academic achievement, fellowship programs, filming documentaries etc. What has the University of Dar es Salaam done so far to commemorate the death of such a hero who left behind a matchless legacy? Pia kifo cha Rodney hakikutokana na kupigwa risasi bali alilipukiwa na bomb kwenye gari yake.James Brown (soul Brother No. 1) amefariki miaka ya hivi karibuni karne ya 21 muda mrefu tu baada ya kustaafu uimbaji kama ilivyo kwa Barry White. Hivyo kusema Brown aliuawa na "hao hao," inaweza isiwe sahihi. Bob Marley alikuwa mwanamapinduzi na nyimbo zake ziliashiria hilo. Marley alikuwa sauti ya wanyonge wa Carribean na weusi kwa jumla. Vuguvugu lao la "Rastafarian", halikusomeka vizuri katika siasa za miaka hiyo. Mtakumbuka Walter Rodney mwanamapinduzi toka Carribean (Mhadhiri UDSM miaka ya sitini kuingia sabini) mwana-Rastafari kutokana na kuvaa nywele zao, aliuwawa kwa kupigwa risasi kwa Guyana baada ya kujihusisha na siasa za huko. Kitabu chake "Jinsi Ulaya Ilivyodumaza Maendeleo ya Afrika", hakikuwavutia wakubwa wa magharibi. Ukiunganisha mzunguko huo wa akina Rodney, Marley na hapo nyuma George Padmore na Marcus Garvey na vuguvugu lao la "Turejee Afrika" unaweza ukakubali ya kwamba Marley aliuawa na wakoloni mambo leo na taasisi kaidi za zama hizo kama CIA kutokana na uanamapinduzi wake na mvuto mkubwa aliokuwa nao kwa vijana wanyonge weusi wa Jamaica na Afrika na Amerika ya Kusini.
We google tu why they killed Bob Marley , watu hawajui tu lakini hili liko wazi kabisa, ili u survive kwenye industry ya music kwa mda mrefu na kuwa successful lazima uwe mtu wao.Alifanya kama Kanumba vile, alijiunga na wale jamaa ili apate kick ya kutokea alivyo wageuka tu ndo wakafanya yao.
Nyimbo gani inawapa kiwewe labdawho's next , nina wasiwasi LUPE FIASCO watamuua hawa mbwa, kwa sababu lupe uwa anawachana live
Kwa nn waislamu wengi hawampendi Bob Marley?We google tu why they killed Bob Marley , watu hawajui tu lakini hili liko wazi kabisa, ili u survive kwenye industry ya music kwa mda mrefu na kuwa successful lazima uwe mtu wao.
Waislamu wa wapi hao maana kuna washikaji zangu wengi Waislamu ni wapenzi wa Bob Marley.Kwa nn waislamu wengi hawampendi Bob Marley?
Nilisikia habari kuwa Bob Marley alikua mpenzi wa taifa la Israel, na ktk nyimbo zake utasikia akitaja holy mount zion, Jerusalem etc, nikahisi huenda hii ndio sababu waislamu wengi kiukweli huwa Hawana mshawasha sana na Bob Marley, maana ulimwengu wa kiislam upo nyuma ya wa Palestina ktk mgogoro wa mashariki ya kati, hivyo yeyote anaeunga mkono Israel anakua kinyume na waislamuWaislamu wa wapi hao maana kuna washikaji zangu wengi Waislamu ni wapenzi wa Bob Marley.
Sema now days kuna mashehk wanaendesha mihadhara kuhusu hawa jamaa sasa kupitia mashehk ndo wamegundua maneno mengi katika nyimbo za Bob ni za kumsifu shetani.
Ila watu hawajui tu na hili haliko kwa Bob tu lipo karibu kwa wanamuziki wote kwa sa babu karibia wanamuziki wote wapo huko.
Mara nyngi huwa kwenye speeches zake akihojiwaNyimbo gani inawapa kiwewe labda
bado Mugabe!Wafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
Kama ni hivyo wasingekuwa wanakimbilia marekani na ulaya.Nilisikia habari kuwa Bob Marley alikua mpenzi wa taifa la Israel, na ktk nyimbo zake utasikia akitaja holy mount zion, Jerusalem etc, nikahisi huenda hii ndio sababu waislamu wengi kiukweli huwa Hawana mshawasha sana na Bob Marley, maana ulimwengu wa kiislam upo nyuma ya wa Palestina ktk mgogoro wa mashariki ya kati, hivyo yeyote anaeunga mkono Israel anakua kinyume na waislamu
Sina hakika na maneno haya sana
Wewe hujui impact ya marley enzi za uhai wake?alikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Uncle Ben hivi ni kweli kuna uwezekano CIA kuhusika na kifo cha Bruce Lee?Bruce Lee ?
R.I.P Bob
Tatizo mkuu ni kwamba kuna conspiracy theories nyingi sana juu ya kifo cha Bruce Lee ,kiasi cha kwamba kujua ukweli wake ni tabu ,ndio maana wengi wanaishia kuhisi ni CIA lakini hakuna wa ku prove beyond reasonable doubt kwamba CIA wamehusika na kifo hichoUncle Ben hivi ni kweli kuna uwezekano CIA kuhusika na kifo cha Bruce Lee?