Nlikuwa nimekaa nje kwenye kiukuta kifupi mguu mmoja juu mwingine chini
sema nlikuwa nimevaa pensi la jeans hawakuona papuchi
ingekuwa ni lile pensi kama la yanga sijui tu siku hiyo.....
Chupi ni vazi la kiume, mi nivae ili ishikilie nini?
akuuuu mi natembea chukuchuku tu
yaani testis zinahitaji temperature fulani ili kutengeneza mbegu za kiume, ndio maana wakati wa baridi huzama ndani ili kupata joto linalo hitajika na wakati wa joto hutoka nje kukimbia joto la mwili. sasa ukivaa boxer kinachotokea unazibana kwenye mwili wako huku zenyewe zinatakiwa kuning'inia ili kujikontrol hivyo boxer wala chupi kwa mwanaume sio vaa msuli, suruali isiyo bana na bukuta. Ndio maana vijana wa kizazi hiki cha dot.com wanapata shida nyingi kwenye mambo yetu yale ya 6x6, kwani muda wote anavaa suruali inambana, boxer n.k hope umeelewa!Zina madhara gani?
hakuna ilio bora! narudia zina madhara!Zote poa depends with occasion .
yaani testis zinahitaji temperature fulani ili kutengeneza mbegu za kiume, ndio maana wakati wa baridi huzama ndani ili kupata joto linalo hitajika na wakati wa joto hutoka nje kukimbia joto la mwili. sasa ukivaa boxer kinachotokea unazibana kwenye mwili wako huku zenyewe zinatakiwa kuning'inia ili kujikontrol hivyo boxer wala chupi kwa mwanaume sio vaa msuli, suruali isiyo bana na bukuta. Ndio maana vijana wa kizazi hiki cha dot.com wanapata shida nyingi kwenye mambo yetu yale ya 6x6, kwani muda wote anavaa suruali inambana, boxer n.k hope umeelewa!
si umalizie tu ndio mana watoto wanagma kutoka kumbe mbegu zinakula joto mvutano tunahangaika na gainoaisee sikujua hilo
ndio hivyo bidada!Aisee sikujua hilo
Mmmm bila chupi au boxer ndani! Usiombe ukumbane na matamanio hautaweza kutembea mbele za watu.Kwani lazima uvae hata usivae nani atajua kuwa hujavaa na suruari inatosha kabisa
uandishi wa aina hii nimetoka bila bila.Uzuri wa yale hata kama una mzgo uko nao ndani kama mdhaifu vaa ndm chooni akilegeza kamba unavua fasta wala mda wa kuvalishana cjui huna
jitahdin mununue yale majezi mazuri ingawa bku tsa mpaka kumi ila unakuwatumeua ndege wawili umenunua chupi hapo hapo umenunua jezi za mazoezi
si umalizie tu ndio mana watoto wanagma kutoka kumbe mbegu zinakula joto mvutano tunahangaika na gaino
infact nikupe mia mku mi nina mwaka wa 4 mpenzi wa yale majezi mitaan wengi wanahci jama ni mwanamichezo kumbe ndio chupi zangu nanua hvyo na wakati wa kukimbia unaweza yatmia kama jezi za mazoezi nikipata hela lazma ninune xxxl kadhaa !!kwenye kabati ukifungua utanpenda kuna za cmba yanga mbeya city ruvu jkt kila aina mpwa
Ningejikung'uta tu......duuuh! we mjanja aisee manake nilifikiri ulikaa chini hofu yangu ikawa tumchanga kuingia na kavumbi si unajua vinapenya bila kujua, ha,ha,haaaaaa!
Ningejikung'uta tu......