afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,152
- 9,268
hakuna ilio bora! narudia zina madhara!
naoma utujulishe maradhi gani??
hakuna ilio bora! narudia zina madhara!
Asikusumbue hawa ndo wale wanaolipwa laki nane take home na wanajiona wako serious kutafta maisha wkt wanacheza tu duniani
Huo mchanga ni mchanga gani ukatize kwenye hiki kipori hadi ukaniingie?ha,ha,haaaaa, ungekung'utia wapi sasa si unajua mchanga kwenye nyama laini hautoki kwa urahisi?
Chupi ni vazi la kiume, mi nivae ili ishikilie nini?
akuuuu mi natembea chukuchuku tu
Mi navaaga ya mume wangu siku mojamoja nikiwa nimeshinda nyumbani naona raha. Na ye akirudi akiniona anacheka!!
Haiwezi kuwa Uganda
chaputa
Huo mchanga ni mchanga gani ukatize kwenye hiki kipori hadi ukaniingie?
ndio mkuu,kuna hadi uya 0.9 usd ambayo hata buku2 haifiki.jaribu kupitia ebay utaona.
Hapo jeee?
![]()
![]()
![]()