- Thread starter
- #41
tujue jinsia yako mkuu.......
jinsia yangu yakusimama chalii
tujue jinsia yako mkuu.......
Kwani wewe unatumia nini kati ya hizo mbili?
Umenikumbusha mbali wakati nipo o level nlikuwa navaa pensi ndani ya sketi ya shule
siku moja nikakaa vibaya mbele ya kadamnasi pensi hiloooo watu walicheka
mi aibu kilo mbili
Chupi ni vazi la kiume, mi nivae ili ishikilie nini?
akuuuu mi natembea chukuchuku tu
hivyo vitatu vyote kwa pamoja ni dollar 9?
tobaa...............
tobaa...............
ha,ha,haaaaa. mlikaa chini au kulikuwa na madawati?
Ndo hivo...
pensi mkuu ndo poa
Boxer, Sitaki hata kukutana na mwanaume aliyevaa chupi, ntazirai.