Chupi vs boxer

Chupi vs boxer

brother,the d.code nimekiona ebay ni dola 5 tu! Pia last don,the sicilian,na godfather ni dola 9 vyote vi3.hivi so najpanga njiunge paypal ili niweze kuagiza.
Anytime ukifanikisha let me know kaka (ASAP)!!!!!!
Hili sasa tulifanyie PM ndugu yangu ili kufanikisha
 
Kwani lazima uvae hata usivae nani atajua kuwa hujavaa na suruari inatosha kabisa
 
brother,the d.code nimekiona ebay ni dola 5 tu! Pia last don,the sicilian,na godfather ni dola 9 vyote vi3.hivi so najpanga njiunge paypal ili niweze kuagiza.

Hivyo vitatu vyote kwa pamoja ni dollar 9?
 
Nguo yote yote inayoyabana maungo maungo hainifai, mimi ni mdau wa pensi.

Umenikumbusha mbali wakati nipo o level nlikuwa navaa pensi ndani ya sketi ya shule
siku moja nikakaa vibaya mbele ya kadamnasi pensi hiloooo watu walicheka
mi aibu kilo mbili
 
Umenikumbusha mbali wakati nipo o level nlikuwa navaa pensi ndani ya sketi ya shule
siku moja nikakaa vibaya mbele ya kadamnasi pensi hiloooo watu walicheka
mi aibu kilo mbili

Pole sana kwa aibu iliyokupata, ulikuwa unafunga mlango nusu hapana shaka kwa sasa ni full makufuli. Wanaume wengi hasa wazee wa mihemko wanpenda nguo za ndani za kubana, maana usafiri wetu huu wa public na hii banana banana minara huwa inasoma full.
 
Back
Top Bottom