Chupi vs boxer

Chupi vs boxer

Nlikuwa nimekaa nje kwenye kiukuta kifupi mguu mmoja juu mwingine chini
sema nlikuwa nimevaa pensi la jeans hawakuona papuchi
ingekuwa ni lile pensi kama la yanga sijui tu siku hiyo.....

duuuh! we mjanja aisee manake nilifikiri ulikaa chini hofu yangu ikawa tumchanga kuingia na kavumbi si unajua vinapenya bila kujua, ha,ha,haaaaaa!
 
bora kutovaa kabisa! vyote viwili vinasababisha dushelele kupinda na kuathiri makuzi yake!
 
Zina madhara gani?
yaani testis zinahitaji temperature fulani ili kutengeneza mbegu za kiume, ndio maana wakati wa baridi huzama ndani ili kupata joto linalo hitajika na wakati wa joto hutoka nje kukimbia joto la mwili. sasa ukivaa boxer kinachotokea unazibana kwenye mwili wako huku zenyewe zinatakiwa kuning'inia ili kujikontrol hivyo boxer wala chupi kwa mwanaume sio vaa msuli, suruali isiyo bana na bukuta. Ndio maana vijana wa kizazi hiki cha dot.com wanapata shida nyingi kwenye mambo yetu yale ya 6x6, kwani muda wote anavaa suruali inambana, boxer n.k hope umeelewa!
 
Evelyn Salt hata mimi nipo team chukuchuku aisee... upepo ukipuliza unasikia kaubaridi kwa mbaaaali lol
 
Chupi inapunguza ukubwa wa machine
ndio mana awaruhusu kuivaa hasa uciku

boxeq nzuri tofauti na chupi hata mzgo ukibana we ukalegeza mcimamo kwenye gari unaweza jiachia nayo akaukalia murua kabsa na raha mstarehe na akitoka apo anakupa ahsant

n
angalizo c ucipende kujiachia ndan ya gari ingawa vinaraha zake maramojamoja maana unapga uku macho yanangalia mbele kulia kushoto gafla nyuma we mwenzako anacema ahsante mawazo yako nje na machne bado inaita
 
yaani testis zinahitaji temperature fulani ili kutengeneza mbegu za kiume, ndio maana wakati wa baridi huzama ndani ili kupata joto linalo hitajika na wakati wa joto hutoka nje kukimbia joto la mwili. sasa ukivaa boxer kinachotokea unazibana kwenye mwili wako huku zenyewe zinatakiwa kuning'inia ili kujikontrol hivyo boxer wala chupi kwa mwanaume sio vaa msuli, suruali isiyo bana na bukuta. Ndio maana vijana wa kizazi hiki cha dot.com wanapata shida nyingi kwenye mambo yetu yale ya 6x6, kwani muda wote anavaa suruali inambana, boxer n.k hope umeelewa!

Aisee sikujua hilo
 
aisee sikujua hilo
si umalizie tu ndio mana watoto wanagma kutoka kumbe mbegu zinakula joto mvutano tunahangaika na gaino

infact nikupe mia mku mi nina mwaka wa 4 mpenzi wa yale majezi mitaan wengi wanahci jama ni mwanamichezo kumbe ndio chupi zangu nanua hvyo na wakati wa kukimbia unaweza yatmia kama jezi za mazoezi nikipata hela lazma ninune xxxl kadhaa !!kwenye kabati ukifungua utanpenda kuna za cmba yanga mbeya city ruvu jkt kila aina mpwa
 
Uzuri wa yale hata kama una mzgo uko nao ndani kama mdhaifu vaa ndm chooni akilegeza kamba unavua fasta wala mda wa kuvalishana cjui huna

jitahdin mununue yale majezi mazuri ingawa bku tsa mpaka kumi ila unakuwatumeua ndege wawili umenunua chupi hapo hapo umenunua jezi za mazoezi
 
Wakina dada nao siku hizi wanapenda nguo za kubana, lakini ni hatari kwa afya zao.
 
Uzuri wa yale hata kama una mzgo uko nao ndani kama mdhaifu vaa ndm chooni akilegeza kamba unavua fasta wala mda wa kuvalishana cjui huna

jitahdin mununue yale majezi mazuri ingawa bku tsa mpaka kumi ila unakuwatumeua ndege wawili umenunua chupi hapo hapo umenunua jezi za mazoezi
uandishi wa aina hii nimetoka bila bila.
 
si umalizie tu ndio mana watoto wanagma kutoka kumbe mbegu zinakula joto mvutano tunahangaika na gaino

infact nikupe mia mku mi nina mwaka wa 4 mpenzi wa yale majezi mitaan wengi wanahci jama ni mwanamichezo kumbe ndio chupi zangu nanua hvyo na wakati wa kukimbia unaweza yatmia kama jezi za mazoezi nikipata hela lazma ninune xxxl kadhaa !!kwenye kabati ukifungua utanpenda kuna za cmba yanga mbeya city ruvu jkt kila aina mpwa

Lol.. haya bana
 
Da we jamaa maswal yako sijui unafikilia vip, kuna uzi unauliza aina za papuchi wanazopenda watu.
 
Back
Top Bottom