Chupi vs boxer

Chupi vs boxer

374940_293257847375887_868562802_n.jpg

Dah maisha yamekua magumu sana jamani
 
kwani boxer inaongeza ubunifu gani kunako gemu? akivaa boxer halafu akawa goigoi kwenye fani itasaidia nini?

Inaongeza hamasa tu kabla ya mchezo hasa iwe safi na nzuri, akiwa goigoi hapo ishu nyingine tena.
 
2014 hii bado mnajadili nguo gani ya ndani mvae???!!!!!we have long long way to go.
 
thank you....seriously 2014 grown ups should know how to cover their assets

Designers and fashionista are busy for the same , talk about shoes, bra, vests,belts and the list goes on!!!!!!!
Human actions are never static.....we change through spontaneous conversations!!!!!
 
Wewe RRONDO acha mikwara yako hapa kama ndo wewe unaanza kutafta au kama wazaz wako hawakutafta wewe endelea tu, ndo nature ya familia yako wengine twasubiri hesabu na assets zpo tayari ktambo, shamabani cheap labour wanafanya kazi so tuwaachee tujichetue kwa raha zetu na weng wenu mnaojfanya mpo serious mmetokea kwenye umaskin na hamna lolote la maana usipanic lkn
 
Asikusumbue hawa ndo wale wanaolipwa laki nane take home na wanajiona wako serious kutafta maisha wkt wanacheza tu duniani

Designers and fashionista are busy for the same , talk about shoes, bra, vests,belts and the list goes on!!!!!!!
Human actions are never static.....we change through spontaneous conversations!!!!!
 
thank you....seriously 2014 grown ups should know how to cover their assets

Hope you do not expect people to be serious all day long!
Sio kwamba tunavaaga na tushakuwa wakubwa basi hatuwezi kujadili au kushauriana kipi bora cha kuvaa...

Na sidhani kama kuna mtu kasema hajui ku-cover his/her assets bali kilichoulizwa ni ipi bomba.
 
Hvi dunia ya leo,bado kuna mwanaume anavaaga chupi tu?
 
Back
Top Bottom