Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,265
- 50,080
Duh! Juice ya matunda au?Profesa Janabi yule Dr wa taasis ya Moyo JK pale Muhimbili anasema bora kunywa soda kuliko juice ya kutengeneza

mkuu wa itifaki,je chupa moja ya bia like guiness au milk stout itakua na sukari kiasi gani? naomba muongozo tafadhali.View attachment 1104243
Maana ya afya njema si kuishi bila maradhi, Bali ni kutambua maradhi yako na kujifunza jinsi ya kuyatibu au juishi nayo bila kukuletea madhara makubwa.
Wakati kwenye sherehe za wenye uelewa maji ndiyo kinywaji cha wote na utayakuta mezani, vinywaji vingine hutolewa kwa maombi.
View attachment 1104301
Huku kwetu Kwamtogole sherehe bila soda ya Azam si sherehe. Wape maji kama kinywaji cha kushushia pilau watakwambia hawaumwi malaria mpaka uwape maji ya kumezea dawa.
Wale wenye diabetes mjue sukari mnayoingiza mwilini kila mnapo kunywa chupa ya soft bicarbonate drink.
Na inasemekana kuwa sukari ni hatari kuliko cholesteralView attachment 1104243
Maana ya afya njema si kuishi bila maradhi, Bali ni kutambua maradhi yako na kujifunza jinsi ya kuyatibu au juishi nayo bila kukuletea madhara makubwa.
Wakati kwenye sherehe za wenye uelewa maji ndiyo kinywaji cha wote na utayakuta mezani, vinywaji vingine hutolewa kwa maombi.
View attachment 1104301
Huku kwetu Kwamtogole sherehe bila soda ya Azam si sherehe. Wape maji kama kinywaji cha kushushia pilau watakwambia hawaumwi malaria mpaka uwape maji ya kumezea dawa.
Wale wenye diabetes mjue sukari mnayoingiza mwilini kila mnapo kunywa chupa ya soft bicarbonate drink.
Swadakta.Na baadae inaleta kiharusi na mstuko wa moyoSukari inageuka kuwa fat ili ihifadhiwe mwilini