Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,048
- 8,824
zote zina sukari ka huamini hilo, mpime mgonjwa mwenyesukari kabla hajanywa then mpatie baada ya ka dakika 10 mpime then utapata jibuNi sawa na coke labda pepsi zero
zote zina sukari ka huamini hilo, mpime mgonjwa mwenyesukari kabla hajanywa then mpatie baada ya ka dakika 10 mpime then utapata jibuNi sawa na coke labda pepsi zero
no usimshauri hivyo, asinywe kabisa maana hakuna ambae hakunywa soda akafaKunywa in moderation mara moja au mbili kwa wiki
Naireplace na spriteKunywa in moderation mara moja au mbili kwa wiki
Jirani yangu alikuwa na matatizo ya diabetes, alipoanza kujisikia vibaya aliomba watoto wampatie fanta, alipomaliza aliomba aliomba na ya pili.zote zina sukari ka huamini hilo, mpime mgonjwa mwenyesukari kabla hajanywa then mpatie baada ya ka dakika 10 mpime then utapata jibu
"Maji si mazuri sana kwa wenye presha ya kupanda"kwanini tunanenepa kupitilizaa? ulaji mbaya au mtindo mbaya wa maisha ambao ndo huo.
Asubuhi sukari (chai,maandazi.chapati)
saa nne (chai.juice, keki0
mchana (wali,soda/juice nk)
usiku (wali,soda/juice/nanasi/papa/chungwa nk)
vingine visivyo kwenye ratiba, mara alambe sukari mara ale asali mara uji wa mtoto, mara kaenda kwa jirani kapata kasoda,
alafu hana hata mazoezi, huna hata kazi ngumu hata yakutoa jasho, na ukipata nafasi ya mazoezi unatembea unasema umefanya mazoezi kwelikweli nani aliyekudanganya?
Haya yote ndo yanapelekea mwili kuongezeka na kunenepa ambako huleta maradhi mengi kwenye mwili na kuchangia kuua mifumo mingi ya mwili. Maji ni mazuri sana kiafya ila maji si mazuri sana kwa wenye presha ya kupanda
Coke zero?zote zina sukari ka huamini hilo, mpime mgonjwa mwenyesukari kabla hajanywa then mpatie baada ya ka dakika 10 mpime then utapata jibu
Na hapo ndo wengi hawajalitambua. Kazi ya sukari ni kutia nguvu mwilini. Ukishatia nguvu uitumie kufanya kazi. Ukiiweka hiyo nguvu bila kazi unatafuta magonjwa. Hivyo, siyo sahihi kusema generally tusitumie vinywaji vyenye sukari.Kama una shughuli zinazosaidia kuunguza hii sukari kila siku ni vyema. Hatari ni kunywa na kulala kwenye kochi unaangalia TV
Lakini si kwa wagonjwa wa kisukariNa hapo ndo wengi hawajalitambua. Kazi ya sukari ni kutia nguvu mwilini. Ukishatia nguvu uitumie kufanya kazi. Ukiiweka hiyo nguvu bila kazi unatafuta magonjwa. Hivyo, siyo sahihi kusema generally tusitumie vinywaji vyenye sukari.
Nimekuelewa. Ni sahihi japo nao wanatumia sukari ya aina yake; wasipotumia kabisa nalo ni tatizo . Kiujumla uko sahihi.Lakini si kwa wagonjwa wa kisukari
Wanakua na vifaa vyao vya kupima sukari kabla na baada ya kula. Shost ana matatizo hayo, huwa anapewa biscuit special za kupandisha sukari haraka anatembea nazo kwenye handbag.Nimekuelewa. Ni sahihi japo nao wanatumia sukari ya aina yake; wasipotumia kabisa nalo ni tatizo . Kiujumla uko sahihi.
mkuu unashangaaa?Coke zero?
swadakta mkuu ila tukiendana na maswali ndo utanielewa vyema, kwani wajua zile dawa za presh wamezazo huwa zinafanya kazi gani mwilini?"Maji si mazuri sana kwa wenye presha ya kupanda"
Unaweza kufafanua kidogo kwenye hii sentensi??
kwani mkuu siwezi ishi bila kula wanga nasukari na nikawa na nguvu?Na hapo ndo wengi hawajalitambua. Kazi ya sukari ni kutia nguvu mwilini. Ukishatia nguvu uitumie kufanya kazi. Ukiiweka hiyo nguvu bila kazi unatafuta magonjwa. Hivyo, siyo sahihi kusema generally tusitumie vinywaji vyenye sukari.
Naipenda sana coca cola nisipokunywa kwa siku nahisi kuumwa