Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Kiongozi wangu, ningekuwa najua nisingekusumbua na hivi viswali. Mi najua vina kazi ya kushusha presha. Baaaasswadakta mkuu ila tukiendana na maswali ndo utanielewa vyema, kwani wajua zile dawa za presh wamezazo huwa zinafanya kazi gani mwilini?