Chupa moja ya Cocacola ina vijiko 10 vya sukari

Chupa moja ya Cocacola ina vijiko 10 vya sukari

kwani mkuu siwezi ishi bila kula wanga nasukari na nikawa na nguvu?
Unaweza, japo sijaelewa unaelewaje neno wanga au sukari. Unjua ili moyo, ubongo, mapafu nk vifanye kazi vinahitaji nguvu! Lakini pia ujue ni ngumu kukwepa wanga au sukari, ukila nyama, ina sukari, ukila mchicha au matunda kuna wanga na sukari. Issue kubwa n kila kitu kula kwa kiasi, na ujitahidi ufanye kazi au mazoezi vyakutosha.
 
kwaleo kidogo nimepata mtu ambaye anaelewa, si kuwa natukana wengine ila kiasi flani unaelewa, mtu anaweza ishi kwa proeni, mboga na matunda yaliyo na sukari kidogo kama matango na parachichi na mengine yalliyo na sukari kidogo, mwisho wasiku ni kiasi kwakila kitu ila mgonjwa hana kiasi bali kuacha
 
kwanini tunanenepa kupitilizaa? ulaji mbaya au mtindo mbaya wa maisha ambao ndo huo.
Asubuhi sukari (chai,maandazi.chapati)
saa nne (chai.juice, keki0
mchana (wali,soda/juice nk)
usiku (wali,soda/juice/nanasi/papa/chungwa nk)
vingine visivyo kwenye ratiba, mara alambe sukari mara ale asali mara uji wa mtoto, mara kaenda kwa jirani kapata kasoda,
alafu hana hata mazoezi, huna hata kazi ngumu hata yakutoa jasho, na ukipata nafasi ya mazoezi unatembea unasema umefanya mazoezi kwelikweli nani aliyekudanganya?
Haya yote ndo yanapelekea mwili kuongezeka na kunenepa ambako huleta maradhi mengi kwenye mwili na kuchangia kuua mifumo mingi ya mwili. Maji ni mazuri sana kiafya ila maji si mazuri sana kwa wenye presha ya kupanda
Mwenye presha ya kupanda yanamfanyaje?
 
Mwenye presha ya kupanda yanamfanyaje?
presha ni matokeo ya mwili kung'ang'ania maji so ukimwongezea maji tena si ndo unaongeza tatizoo? na zile dawa watumiazo zinawasaidia kukojoa mara kwa mara ili kupunguza maji.
na ndo maana watu wa presha wanaogopa chumvi sana maana yenyewe ndo inafanya mwili ung'ang;anie maji, kwakidogo hicho naamini picha umeipata
 
Na hapo ndo wengi hawajalitambua. Kazi ya sukari ni kutia nguvu mwilini. Ukishatia nguvu uitumie kufanya kazi. Ukiiweka hiyo nguvu bila kazi unatafuta magonjwa. Hivyo, siyo sahihi kusema generally tusitumie vinywaji vyenye sukari.
Kweli mkuu
 
Be specific ,hiyo chupa ina ujazo upi?
Kama ni 375 ml ni sawa
Screenshot_20190522-152748.jpeg
 
Profesa Janabi yule Dr wa taasis ya Moyo JK pale Muhimbili anasema bora kunywa soda kuliko juice ya kutengeneza
 
Kama una shughuli zinazosaidia kuunguza hii sukari kila siku ni vyema. Hatari ni kunywa na kulala kwenye kochi unaangalia TV
Bora kwangu sina tv sina kochi siwezi kupata madhara nikinywa cocacola
 
Suala linalohusu taaluma au fani fulani ni bora kuwaachia wenye taaluma hiyo kulizungumzia. Kwa Tanzania yetu imekuwa suala la kawaida kabisa mtu ambaye si mtalam wa lishe kuzungumzia suala la lishe huku akijua fika hana ujuzi huo. Anyway mtoa mada anachopaswa kujua chochote kile kitumiwa zaidi ya mwili unyohitaji huleta shida mwilini hivyo ni vizur ukatumia virubisho kulingana na mahitaji ya mwili wako au wanaita RDA or RDI ( Recommended daily allowance or recommended daily Intake)
Hii nchi ina shida sana,kwa hiyo na ww unatafsiri km mleta mada kafanya makosa kuleta huu Uzi. Hii ndo shida ya kusoma na kukariri majibu. Hv kwa akili yako kwa nn vilibuniwa vinywaji vya kusindika!?? Kwa mfano mtanzania aliyeko hapa hapa dar,ana sababu gani ya kununua Fanta orange wakati kwa jirani yake anauza machungwa!?.

Soda na vinywaji vingine vinavyotengenezwa kwa kutumia matunda,vililenga kuwasaidia wale wenye tatizo la kupata aina ya hayo matunda halisi mfano mtu anasafiri safari ndefu na huko njiani muda wa kumenya au kununua matunda haupo.

Lkn mtanzania mwenye uelewa mdogo km huu wako,anaona fahari kunywa soda,hivi ulishawahi kujiuliza ile rangi iliyoko kwenye soda huwa inaenda wapi!?? Maana kwenye mkojo haitoki yanatoka maji yaliyoko kwenye soda. Huwezi kunywa coca cola halafu ukapata mkojo mweusi,tuambie basi hiyo rangi huwa inaenda wapi mtaalamu wa lishe!??
 
Profesa Janabi yule Dr wa taasis ya Moyo JK pale Muhimbili anasema bora kunywa soda kuliko juice ya kutengeneza
😀😀😀😀😀 mkuu mwenyewe anasema anazaidi ya miaka 10 hajanywa soda, hakuna sumu iliyo bora maana zote zinaua
 
Hii nchi ina shida sana,kwa hiyo na ww unatafsiri km mleta mada kafanya makosa kuleta huu Uzi. Hii ndo shida ya kusoma na kukariri majibu. Hv kwa akili yako kwa nn vilibuniwa vinywaji vya kusindika!?? Kwa mfano mtanzania aliyeko hapa hapa dar,ana sababu gani ya kununua Fanta orange wakati kwa jirani yake anauza machungwa!?.

Soda na vinywaji vingine vinavyotengenezwa kwa kutumia matunda,vililenga kuwasaidia wale wenye tatizo la kupata aina ya hayo matunda halisi mfano mtu anasafiri safari ndefu na huko njiani muda wa kumenya au kununua matunda haupo.

Lkn mtanzania mwenye uelewa mdogo km huu wako,anaona fahari kunywa soda,hivi ulishawahi kujiuliza ile rangi iliyoko kwenye soda huwa inaenda wapi!?? Maana kwenye mkojo haitoki yanatoka maji yaliyoko kwenye soda. Huwezi kunywa coca cola halafu ukapata mkojo mweusi,tuambie basi hiyo rangi huwa inaenda wapi mtaalamu wa lishe!??
mkuu usitake hata kwenda mbali hizo sijui nini machungwa wala hazitengenezwi na machungwa ni makemikali yanachanganywa unapata hiyo ladha ni ka unavosikia ladha ya ukwaju, vanila, strawberry na vingine mkuu
 
presha ni matokeo ya mwili kung'ang'ania maji so ukimwongezea maji tena si ndo unaongeza tatizoo? na zile dawa watumiazo zinawasaidia kukojoa mara kwa mara ili kupunguza maji.
na ndo maana watu wa presha wanaogopa chumvi sana maana yenyewe ndo inafanya mwili ung'ang;anie maji, kwakidogo hicho naamini picha umeipata
Asante sana nimeelewa
 
ukweli toka moyoni apa nlipo naperuzi Jf uku pembeni nna big pepsi kupunguza uchovu wa leo.
 
hebu kuwa serious
aniwekee vijiko 10. Halafu aniuzie 500!
Yeye ananua sh ngapi?
Biashara kichaa hiyo.
 
Back
Top Bottom