Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

Vipi JF mnashindwa kuhimili critics. FUTENI lakini Huo ndiyo ukweli. NA KWELI INAUMA
 
Wadau me leo nimeona picha ya wanafunz waliosoma shule za kata wakisalimiana na EDO,
KWENYE MWANANCHI
 
wewe huna akili huoni rais UHURU KENYATTA ana skendo mpaka mahakama YA ICC LAKINI AMEPEWA FURSA ya kuongoza wakenya nin kinashindikana kwa hon LOWASS

Ok mimi sina Akili sawa ila wewe mbumbumbu kwa sababu kwanza kosa la mtu mmoja halijustify kosa la mwingine, kwa kuwa Kenyatta ana kesi ya uhalifu dhidi ya ubinadamu basi hiyo inasafisha tuhuma za ufisadi dhidi ya lowassa??Tanzania ina watu zaidi ya million 45 hakuna anayetufaa kuwa rais zaidi ya huyu aliyeingiza taifa kwenye hasara kubwa na kampuni yake feki? After all umri umeenda tunataka Rais kijana kama huyo Uhuru wako unayemtaja ili aweze kwenda na kasi ya challenge za sasa!!
 
tusubiri vituko 2005 salva rweyemamu akiwa mhandishi wa habari wa gazeti mmoja hapa nchini alisema kikwete ni chaguo la mungu sasa matokeo yake ndio msemaji wa ikulu kabla ya 2015 tutaona mengi yakiwemo ya wassira kujifanya sio mla rushwa huku twajua madudu yake
Isomeke hivi vijana wa UVCCM udom wamtaka lowasa......
 
UDOM pia ni Chuo cha Kata.
Failures wote wanakimbilia Huko.
Pambaf zao....
 
Mwananchi wanafiki tena huandika habari ambazo wamepewa kupitia simu hata kama ya uongo, mkitaka kujua jitahidi kufuatilia tukio litakalotokea mahari ulipokuwa na habari itakayo andikwa na gazeti la mwananchi it's quite different.
 
Papa LOWASA KIBOKO. YAANI YEYE KAANZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MAPEMA, MIAKA 2 KABLA YA WAKATI.

Chuo kina wanafunzi 20000 halafu waliomtembelea 40 halafu kauli inasemekana imetoka UDOM mungu tunusuru na huu ubongo kuganda maana tunaenda kama ngombe hatujui bucha ni nini
 
Wanafunzi zaidi ya 600 wanaosoma Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) ambao walimaliza elimu yao ya Sekondari katika shule za Kata nchini, wamemuomba Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Wawakilishi wa wanafunzi hao wapatao 40,juzi jioni walimtembelea kiongozi huyo nyumbani kwake maeneo ya Area C mjini hapa na kula naye chakula cha usiku, huku wakimueleza kuwa wapo tayari kumpigia debe, kumchangia fedha za kuchukua fomu pamoja na kuwashawishi vijana wenzao kwamba Lowassa ndiye kiongozi anayefaa kwa sasa.Hafla hiyo pia illihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanafunzi hao.

Chanzo: Mwananchi

Je, rafiki yake ambaye hawakukutana barabarani ameafiki hili jambo? Nauliza kwa kuwa malkia na prince nasikia wanampigia debe yule jamaa aliyeitwa joka la mdimu na Mudhihir.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
UDOM pia ni Chuo cha Kata.
Failures wote wanakimbilia Huko.
Pambaf zao....

Halafu umecheki combination zao? Aisee kweli kile ni chuo cha kata. Tehe, tehe, tehe,

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
UDOM pia ni Chuo cha Kata.
Failures wote wanakimbilia Huko.
Pambaf zao....

failure ni wewe na familia yako, kwaniumeambiwa udom wanasoma watu wenye principle moja au division zero?!
udom ina best students na wenye sifa za kufika chuo kikuu, chuki zenu na udom pelekeni vyumbani kwenu!!!!
hiyo kauli ulioitoa ni ya kipumbavu na bila shaka na wewe ni mpumbavu kama mtu fulan, ukiwa unataka kuongea fanya utafiti kwanza ndio uongee na siokuropoka ropoka tu kwa vile huyalipii kodi maneno yako!
 
Wanafunzi zaidi ya 600 wanaosoma Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) ambao walimaliza elimu yao ya Sekondari katika shule za Kata nchini, wamemuomba Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

LOWASS.bmp


Wawakilishi wa wanafunzi hao wapatao 40,juzi jioni walimtembelea kiongozi huyo nyumbani kwake maeneo ya Area C mjini hapa na kula naye chakula cha usiku, huku wakimueleza kuwa wapo tayari kumpigia debe,

kumchangia fedha za kuchukua fomu pamoja na kuwashawishi vijana wenzao kwamba Lowassa ndiye kiongozi anayefaa kwa sasa.Hafla hiyo pia illihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanafunzi hao.


UDOM WAMTAKA LOWASA KUGOMBEA URAIS 2015...!! - GUMZO LA JIJI
 
HAPANAAAAAAAAA.....Sio wanafunzi wa UDOM bali ni wanafunzi waliosoma shule za kata!!!!!! Umenukuu vibaya rejea chanzo chzko cha habari.
 
Huyu mzizi mkavu nilidhani ana akili kumbe ana matope tu! Hii hoja ishajadoiliwa siku ya pili leo halafu unaileta tena,aliyekwambia wanafunzi wa UDOM wote wametoka shule za kata ni nani?ina maana application tcu kuingia chuo walihitaji waliotoka shule za kata? Au kutoka shule ya kata ni sifa kuingia UDOM? hapa UDOM kuna college 6 na zaidi ya wanafunzi elfu20 hao wawakilishi 40 waliteuliwa na nani?kwanini mnashindwa kutofautisha kazi za UVCCM nza UDOM? Tumechoka na uzushi wenu! Mzizi mkavu au mzushi mkavu? Stupid topic
 
.

Wawakilishi wa wanafunzi hao wapatao 40,juzi jioni walimtembelea kiongozi huyo nyumbani kwake maeneo ya Area C mjini hapa na kula naye chakula cha usiku, huku wakimueleza kuwa wapo tayari kumpigia debe, kumchangia fedha za kuchukua fomu pamoja na kuwashawishi vijana wenzao kwamba Lowassa ndiye kiongozi anayefaa kwa sasa
Chanzo: Mwananchi
RED: Maanake LOWASSA aliwaalika siyo?
BLUE: Maanake aliwaandalia na chakula au waliandaa wao?!
GREEN: Maneno waliyosema ni fadhila ya MSOSI walioupata.....?!
Hata kwenye BIBLIA kuna watu walimfuata YESU kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa sababu tu, awali aliwapa mikate wakala wakashiba!
Mwisho, TITLE ya mada imetiwa chumvi maana haiwezekani chuo kama taasisi kitoe msimamo kama huo!
UDOM ni wahadhiri wote, wanachuo wote, watumishi wasio walimu,wapishi, wafagizi, walinzi, majengo nk...
Ni vema ushabiki usitufanya tuiruhusu akili iende likizo.
 
Wanaoichafua UDOM na kui link na CCM hamtutendei haki kabisa,kila chuo kina UVCCM cha ajabu hapa UDOM japokuwa UVCCM ni wachache sana na wanafanya kazi zao kwa kujificha wakiogopa kuzomewa na wanafunzi,lakini cha ajabu kila wakifanyacho wanafiki wanasema UDOM imefanya hiki...huu ni ujinga mkubwa,hata kumchangia kikwete form mwaka 2010 walifanya UVCCM baada ya kupewa pesa na mkuu wa mkoa wa wakati huo wakishirikiana na Katibu mkuu wa wakati huu mzee Makamba,lakini wenye chuki wakasema UDOM imemchangia kikwete! Binafsi habari hizi huwa nazikuta jamii forums tu,nadhani ifikie hatua uwongo huu ukome,,,mbona hamuandiki harakati za CHADEMA? mbona hamuandiki habari za BAVICHA UDOM kujenga ofisi zao? Mbona hamuandiki habari za wanafunzi wa CHADEMA ambao ni wengi zaidi chuon kufanya mikutano ya hadhara vijijini wakati wa weekend kuelimisha umma kuhusu mambo ya msingi? Ufikie wakati upotoshaji huu ukome,uongo na uzandiki dhidi ya UDOM ufikie mwisho,hamuwatendei haki wanafunzi na walimu ambao ni wana mageuzi....mleta mada omba radhi jukwaani,ni tabia mbaya kudanganya umma

HONGERA kijana wangu!
Mungu awape akili ya darasani na kuitumia kuwakomboa watanzania wenzenu!
 
Kwani si walinchukukia JK fomu?ila maandamano ya bumu yalikuwa pale pale
 
Mbona mimi niko UDOM hata kusikia habari hiyo ndiyo naipata kwako? Kwani mambo kama hayo huwa yana ratibiwa na chuo? Ina maana wanafunzi 40 wakiratibu event wakaenda club kwa umoja itakuwa ni UDOM wamekwenda CLUB kama chuo? Analysis za style yako ni za hatari sana km taifa. Be objective when criticizing!
 
  • Thanks
Reactions: mij
Back
Top Bottom