Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

UDOM cant be so called "janga" man. Lazima watu watakuwa wamekuwa conditioned ndo mana kila jambo linajumuishwa, mimi nauhakika kabisa kuwa UDOM ni chuo safi ndo mana mkuu katumia kung'arisha nyota.

upo sawa mkuu
 
Kaka usiseme hivyo kwamba chuo ni cha hovyo sana tupo tumesoma hapo na tuko nondo sana hatubabaishwi na porojo za Lowassa, ulitakiwa kuwa specific badala ya ku generalise mambo watu wenye hekima hawafanyi hivyo, siku nyingine jifunze sawa kaka

safi sana
 
Nina mashaka na GPA watakazopata Wanafunzi hao.Wanaonekana wachumia tumbo waliopitiliza.

Si ajabu walitoa maneno hayo kwa matarajio ya kupiga mzinga. Yaani wahuni wajikusanye huko tu na njaa zao kali kali wajifanye wawakilishi wa wanafunzi wote? Ni nani aliwatuma? Hawana tofauti na wale walioenda kula mishikaki kule Monduli walipotoka huko wakawa waropokaji wakubwa

Vibaka wamekusanyanana na kupeana sapoti. Eti watasaidia kuchangisha hela?ha ha ha ha! ------

UDOM ina bahati mbaya sana kwa maana ya kwamba ilianza kama project nzuri sana lakini siasa mingi imeingilia kati kiasi kwamba inaharibu taswira ya chuo. Ni siasa, siasa, siasa! Nelson Mandela-Arusha wameanza vizuri, wasiingie kwenye mkumbo huu wa siasa, wajikite ktk kuchapa kazi.
 
ungefanya utafiti kwanza kabla ya kurusha matusi,mimi nipo hapa UDOM,Kimsingi hakuna yeyote aliyefanya ujinga wa namna hiyo..watu wako bize na mitihani na wengine tayari walishaondoka kwenda likizo,sasa unaporusha matusi kwa kitu ambacho sicho sahihi hututendei haki kabisa,binafsi nimeumia kurushiwa matusi kwa habari ya uongo...

Kasome tena uelewe kasema ni Waliomaliza UDOM.
 
Nyie watoto wa udom acheni upumbavu lowasa ni janga la kitaifa ni jambazi fisadi hafai kua rais. Msidanganyike. Amkeni

Binafsi nipo Udom na nilishawahi soma UDSM kwa miaka minne, hakuna chuo chochote chenye wana CHADEMA WENGI KAMA UDOM, ccm wanafanya mambo yao kwa kujificha sana wakiogopa kuzomewa.

Nakubali kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa na tabia ya kwenda kubadili chakula kinachoandaliwa na viongozi wa ccm, na kutoa matamko yasiyo kuwa na kichwa wala miguu.

Itoshe kusema kwamba wanaposema UDOM imetoa tamko ni KUWAVUNJIA HESHIMA WANAHARAKATI WOTE, na chuo kwa ujumla.
 
Lakini pamoja na hayo mnayoyaona kama mapungufu, Bado mimi nadhani LOWASA ndie anayefaa kuwa rais wa nchi hii kuanzia mwaka 2015.
 
Wangemwambia aulizie kuhusu pesa za field kwa nini zimechelewa ningewaona wajanja.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI lakini pia
WALIOSOMA NI CHAKULA CHA WANASIASA.
 
Waende wakawaulize wanafki wenzao wa monduli (WALIOJIITA WASOMI) kilichowakuta baada ya kujipendekeza kwa huyu bwana wakati wa kampeni za 2010
 
Kwa hiyo wote wanaowafuata wanasiasa waandamizi kwenda kuwashauri ni vbaya na wanasukumwa na njaa?


This is very difficult question for someone like Ben saanane......hajajua kuwa na yeye kajisema na kajitukana na kwa na double standard at this very circumstance

huwa nawaambia kuna vitu si lazima utume post....umemvua nguo hapa
 
Ameshachoka kukutana nao chini ya mibuyu kule mbele ya Humanities eeeh????
Hao wengi ni association zake alizoziandaa mwenyewe ili aonekane anakubalika
, kuna ila nyingine ya wamasai ambayo ww kama sio masai wa Monduli hupati
madaraka ya aina yoyote. mbinu mbovu hizi na nyie bogus wa UDOM mkatae

kutumika kif.ala.
 
Hayo ni mawazo yao kumuka siyo udom ni kikundi cha watu 600 wametimizs lengo la kutoa mawazo yao.

After all ni product ya shule za kata so tarajia uwezo mdogo wa kufikiria!huenda wanajua bado lowassa ni waziri mkuu na hawajui kuwa alitimuliwa kwa ufisadi!!
 
isomeke hivi vijana wa uvccm udom wamtaka lowasa......

kwa wanao mtaka lowassa kuwania urais hata na lowassa mwenyewe tueleze kuhusu haya;

  • kwa nini hujibu barua ya ndg. Kasori aliyekuwa msaidizi wa baba wa taifa juu ya aliyoyasema kwako kuwa wewe ni fisadi wakati ulipo kuwa ukiwania urais 1995. Baba wa taifa alishangazwa na jinsi ulivyojilimbikizia utajiri kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mfupi katika utumishi wako, enzi zile za kambarage. Kwa nini lowassa hukatai /hukanushi hilo na kuweka bayana juu ya utajiri na tuhuma hizo???
  • ebu wekeni bayani juu ya tuhuma kuwa una uhusiano mkubwa na rostam aziz na yeye anaongoza kampaini zako za kuelekea urais kwa remote. Toa msimamo wako kuhusu richmond. Watanzania tuliibiwa au ni uwongo. Je ukiwa rais hilo la richmond utawawajibisha wezi hao???? Na kwa vipi??? Je ni kweli kuwa pesa za rostam zinafikia makanisa kwa kupitia kwako?? Huamini kuwa kwa kufanya hivyo unatoa r ushwa (lowassa fafanua)
  • kwa nini hujasikikaa ukiwatetea wanyonge- hasa wakulima na watu wa kawaida vijijini- yapo mengi yanayojadiliwa ili kuwakwamua pengine yanahitaji mtu mwenye busara kuyasemea, wewe unakaa kimya , hujawahi kuchangia hata mara moja bungeni, kisa nini?? Ukiwa rais utawezaje kusaidia??? Umaskini unawakwaza walio wegi, hawawezi kupata masoko, mikopo, mbolea, elimu, afya, ajira n.k wewe u kimya tu lakini makanisani unakuwa chiriku hii tabia ni ya rais tumtakaye?
  • kuna wakati ujio wako kule mwanza ulienda sambamba na kuondoa amri ya kumzuia singasinga wa hotel ya tilapia kutofungua hoteli hiyo hadi awe amegeuza choo za hoteli kutoingiza mavi ziwani kwani pale hoteli ilipo ni karibu sana na mitambo ya kusambaza maji ktk manispaa ya mwanza. Injinia wa manispaa alikataa na wewe ukaamua afungue tu. Ile ilikuwa kuna maslahi yoyote kwa wana mwanza ??? Tukuamini vipi kwa hilo maana wakati huoulikuwa waziri ardhi na makadhi???
  • jee wanaposema ccm imevaa gamba, wewe gamba hilo unaweza kulielezea vipi?? Ili tujue kuwa utalivua kabla ya kuwa rais???? Wewe upo sehemu kaika kutetea azimio la arusha na azimio la zanzibar????
  • vipo vituhuma kadhaa vingine lakini tuwekee bayana hayo juu kwanza tuanze kukufikiria ubora wako????
tunasubiri majibu.
 
Wanafunzi zaidi ya 600 wanaosoma Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) ambao walimaliza elimu yao ya Sekondari katika shule za Kata nchini, wamemuomba Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Wawakilishi wa wanafunzi hao wapatao 40,juzi jioni walimtembelea kiongozi huyo nyumbani kwake maeneo ya Area C mjini hapa na kula naye chakula cha usiku, huku wakimueleza kuwa wapo tayari kumpigia debe, kumchangia fedha za kuchukua fomu pamoja na kuwashawishi vijana wenzao kwamba Lowassa ndiye kiongozi anayefaa kwa sasa.Hafla hiyo pia illihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanafunzi hao.

Chanzo: Mwananchi

Magamba ni wajinga sana, yani wanataka kuhaminisha umma kuwa UDOM imejaa CCM. Wanaofahamu ya UDOM ni wakazi na jumuiya ya UDOM.
 
Wanafunzi zaidi ya 600 wanaosoma Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) ambao walimaliza elimu yao ya Sekondari katika shule za Kata nchini, wamemuomba Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Wawakilishi wa wanafunzi hao wapatao 40,juzi jioni walimtembelea kiongozi huyo nyumbani kwake maeneo ya Area C mjini hapa na kula naye chakula cha usiku, huku wakimueleza kuwa wapo tayari kumpigia debe, kumchangia fedha za kuchukua fomu pamoja na kuwashawishi vijana wenzao kwamba Lowassa ndiye kiongozi anayefaa kwa sasa.Hafla hiyo pia illihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanafunzi hao.

Chanzo: Mwananchi

Kwa mawazo yangu naunga MKONO uamuzi wa wanachuo cha UDOM kuawa mweheshimiwa LOWASSA NDIE KIOngozi anaweza kuongoza taifa letu
 
Wasomi na wanasiasa mnaiua nchi hii balaa ya kujadili maendeleo mnajadili uchaguzi ambao bado sana.
 
Nasikia Wanafunzi hawa wengi ni wale waliomaliza Shule za Kata!
 
After all ni product ya shule za kata so tarajia uwezo mdogo wa kufikiria!huenda wanajua bado lowassa ni waziri mkuu na hawajui kuwa alitimuliwa kwa ufisadi!!

wewe huna akili huoni rais UHURU KENYATTA ana skendo mpaka mahakama YA ICC LAKINI AMEPEWA FURSA ya kuongoza wakenya nin kinashindikana kwa hon LOWASS
 
ACHENI PROPAGANDA NYEUSI. LOWASSA ndiye Rais Ajae. UDOM ni wajibu awmuenzi EL . YEYE ndiye aliyekuja na WAZO la kuanzisha UDOM ILI kupokeawnafunzi wahitimu aw Secondary za Kata. AMA KWELI NIMEAMINI JF IN CHADEMA WATUPU. ROPOKENI TU
 
Back
Top Bottom