ABEDNEGO CHARLES
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 568
- 106
Kwa taarifa yako tu. 97 percent km si zaidi ya wanafunzi UDOM ni CHADEMA.
failure ni wewe na familia yako, kwaniumeambiwa udom wanasoma watu wenye principle moja au division zero?!
udom ina best students na wenye sifa za kufika chuo kikuu, chuki zenu na udom pelekeni vyumbani kwenu!!!!
hiyo kauli ulioitoa ni ya kipumbavu na bila shaka na wewe ni mpumbavu kama mtu fulan, ukiwa unataka kuongea fanya utafiti kwanza ndio uongee na siokuropoka ropoka tu kwa vile huyalipii kodi maneno yako!
Halafu umecheki combination zao? Aisee kweli kile ni chuo cha kata. Tehe, tehe, tehe,
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Unjaua Maana ya Best Student wewe.
Narudia tena, Best Students hawaendagi UDOM
UDOM ni Kimbilio la Wakosefu, Failures wooote Ndo Kimbilio lao
Hauwezi Kuifananisha UDOM hata na MZUMBE in terms of Enrolling Best Students
Kama wewe ni Product ama expected Product ya UDOM na wewe ni Failure pia
kwa kukusaidia tu mimi form six nina div 1 ya point 5 frm Aza boy npo udom, kuna wanafunz weng tu wa udsm nawafaham wamesoma/wanasoma udsm kwa div 3, ukitaka ushahidi naweza hata kuwataja hapa ili uwafuatilie, binafsi nmekuja dom coz naamin udom iz the best na udsm imebak historia tu.
alaf bila aibu unasema et udom ni kimbilio la failure cjui unatumia kigezo kipi, wasomi wanasema "no research no right to say" ngoja nisikusemee hebu tuthibitishie with vivid references kuwa udom ni kimbilio la failure, na ukishindwa jaribu kujifunza kukaa kimya na kama ukiweza basi mimi nitajifunza kukaa kimya.
failure
· n.
1 lack of success. Ø an unsuccessful person or thing.
2 the omission of expected or required action.
3 the action or state of not functioning. Ø a sudden cessation of power. Ø the collapse of a business.
Ok, Mie Naanza Ku Prove kuwa wewe ni Failure.
Kama sio Failure share the follwoing :
1. Ulimaliza Azania Mwaka gani ?
2. Ulisoma Combination Gani ?
3. Je, Udom unasoma Kozi Gani
Tuanze na Haya
Hubert Kairuki Mem. University ni cha 98 kwa ubora Afrika, UDSM ya 6, UDOM ni three-digit na haijulikani ipo namba ngapi.
udaku---maneno ya kwny khanga hayatupi taabu
Kawaita mwenyewe huyoo. Jamaa bado anaota Urais! Nadhani anajisafishia njia ya kufilisika. Ameanza kampeni muda mrefu sana kwa kumwaga mapesa kanisani.
nmemaliza Azania 2010 (pesa ya mzee Mengi nmeila)Ok, Mie Naanza Ku Prove kuwa wewe ni Failure.
Kama sio Failure share the follwoing :
1. Ulimaliza Azania Mwaka gani ?
2. Ulisoma Combination Gani ?
3. Je, Udom unasoma Kozi Gani
Tuanze na Haya
soma hapa uone wanaofikiri kwa ubongo walivyotofauti na wewe unayefikiri kwa ma------.
Top 100 Universities in Africa | 2013 World University Ranking