Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

mkuu umefafanua vizuri sana sidhan kwamba wanafunzi udom wote wanaisuport ccm kwa mabaya wanayoyatenda tatizo ni generalization of things

hata kama wapo kidogo au wengi ni haki yao, hakuna mtu anaeweza kumchagulia mwingine mtu wa kumpenda au kumchukia, kama udom wameona Lowassa ndio anafaa basi wacheni watumie vyema haki yao, kila mtu ana haki ya kuamua vile atakavyo bila kuingiliwa na mtu mwingine unless ukute anavunja sheria vinginevyo waacheni watu watumie haki zao na sio kuwaponda, hakuna mtu anaeweza kumlazimisha mwingine kumpenda Membe na kumchukia Zittto au kupenda Dr Slaa na kumchukia Sitta.
 
Nina mashaka na GPA watakazopata Wanafunzi hao.Wanaonekana wachumia tumbo waliopitiliza.

Si ajabu walitoa maneno hayo kwa matarajio ya kupiga mzinga. Yaani wahuni wajikusanye huko tu na njaa zao kali kali wajifanye wawakilishi wa wanafunzi wote? Ni nani aliwatuma? Hawana tofauti na wale walioenda kula mishikaki kule Monduli walipotoka huko wakawa waropokaji wakubwa

Vibaka wamekusanyanana na kupeana sapoti. Eti watasaidia kuchangisha hela?ha ha ha ha! ------

we kweli ndo pumbulisu swala GPA hapo linakuja vipi? hata wangepata gentalmen ndo ufaulu wao mbona hao wenye First class wamefanya nini?mawazo mgando huzaa maendeleo chakavu.
 
mtu hawezi kutafuta urais kwa speed hii bure na kwanza ana tamaha na anapenda makundi sana awali alituletea ------ mzigo na yeye wanafikiri urais ni mali ya makundi fulani na CCM PEKEE SIYO? HOVYO SANA 2015 hamlambi kitu
 
hata kama wapo kidogo au wengi ni haki yao, hakuna mtu anaeweza kumchagulia mwingine mtu wa kumpenda au kumchukia, kama udom wameona Lowassa ndio anafaa basi wacheni watumie vyema haki yao, kila mtu ana haki ya kuamua vile atakavyo bila kuingiliwa na mtu mwingine unless ukute anavunja sheria vinginevyo waacheni watu watumie haki zao na sio kuwaponda, hakuna mtu anaeweza kumlazimisha mwingine kumpenda Membe na kumchukia Zittto au kupenda Dr Slaa na kumchukia Sitta.
wewe naye kumbe ni miongoni mwa vifisadi vidogo vidogo
 
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Wataka-Lowassa-agombee-urais-2015/-/1597332/1894748/-/x1dme/-/index.html
 
we kweli ndo pumbulisu swala gpa hapo linakuja vipi? Hata wangepata gentalmen ndo ufaulu wao mbona hao wenye first class wamefanya nini?mawazo mgando huzaa maendeleo chakavu.
mwanaccm ndiye ana mawazo mgando
 
By Ben Saanane Nina mashaka na GPA watakazopata Wanafunzi hao.Wanaonekana wachumia tumbo waliopitiliza.

Si ajabu walitoa maneno hayo kwa matarajio ya kupiga mzinga. Yaani wahuni wajikusanye huko tu na njaa zao kali kali wajifanye wawakilishi wa wanafunzi wote? Ni nani aliwatuma? Hawana tofauti na wale walioenda kula mishikaki kule Monduli walipotoka huko wakawa waropokaji wakubwa

Vibaka wamekusanyanana na kupeana sapoti. Eti watasaidia kuchangisha hela?ha ha ha ha! ------

BEN SAANANE Tunajua wewe ni mfuasi wa MEMBE uliyetumwa kuivuruga Chadema na ukiona neno lowasa huwa unaweweseka ni mara nyingi unamsfia membe apa jamvini na zito anamsfia JK ma kweli kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo...time will tell LOWASA ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kuwapeleka watanzania ktk maendeleo kwa ndani ya ccm na kwa nje ya ccm ni DK.Slaa....GOD IS GREAT Akina kamanda kileo ktbu wa cdm yupo igunga ametengenezewa kesi na hao unaowasapoti nilitarajia ulete uzi wa kuhamasisha kileo kuachiwa mschumie matumbo..kwangu ndani ya ccm amna kiongozi strong kama LOWASA na 2015 anafaa kugombea urais kama wanataka mshndan halisi si kna membe na sta wanaolia lia kwenye media kila sku
 
BY BEN SAANANENina mashaka na GPA watakazopata Wanafunzi hao.Wanaonekana wachumia tumbo waliopitiliza.

Wanafunzi zaidi ya 600 wanaosoma Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) ambao walimaliza elimu yao ya Sekondari katika shule za Kata nchini, wamemuomba Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Wawakilishi wa wanafunzi hao wapatao 40,juzi jioni walimtembelea kiongozi huyo nyumbani kwake maeneo ya Area C mjini hapa na kula naye chakula cha usiku, huku wakimueleza kuwa wapo tayari kumpigia debe, kumchangia fedha za kuchukua fomu pamoja na kuwashawishi vijana wenzao kwamba Lowassa ndiye kiongozi anayefaa kwa sasa.Hafla hiyo pia illihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanafunzi hao.

Chanzo: Mwananchi

Acha uhuni wko wakati mulienda kuwachukua pale na kuwapa pesa na kuwajaza ujinga nani asio wafahamu nyie...mwambie huyo baba yenu anaangaika bure ikulu ataisikilizia minduli .
 
kwa UDOM sishangai hata kidogo,mmesahau mwaka 2010 walichanga viboom vyao wakamchukulia form ba'mwanaasha????kwa kujikombakomba hao ndo wenyewe,hao hawana pesa walienda kufata msosi tu huko area C

UONGO MTUPU!!!!!!!
Vijana wa CCM walipewa hizo hela ionekane wanachuo ndo walichanga....
 
By Ben Saanane Nina mashaka na GPA watakazopata Wanafunzi hao.Wanaonekana wachumia tumbo waliopitiliza.

BEN SAANANE Tunajua wewe ni mfuasi wa MEMBE uliyetumwa kuivuruga Chadema na ukiona neno lowasa huwa unaweweseka ni mara nyingi unamsfia membe apa jamvini na zito anamsfia JK ma kweli kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo...time will tell LOWASA ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kuwapeleka watanzania ktk maendeleo kwa ndani ya ccm na kwa nje ya ccm ni DK.Slaa....GOD IS GREAT Akina kamanda kileo ktbu wa cdm yupo igunga ametengenezewa kesi na hao unaowasapoti nilitarajia ulete uzi wa kuhamasisha kileo kuachiwa mschumie matumbo..kwangu ndani ya ccm amna kiongozi strong kama LOWASA na 2015 anafaa kugombea urais kama wanataka mshndan halisi si kna membe na sta wanaolia lia kwenye media kila sku

Sisi siyo wajinga saizi tunazingatia maneno ya wazee wetu walio ona mbali...nyerere alitushauri kuhusu kikwete kuwa afai kuwa raisi wa nchi hii mkampa amevuruga tena balaa huyo huyo nyerere alisema lowassa afai kuwa kiongozi au raisi alafu tuje tena tumpe tutakuwa tunafanya nini watanzania? Tutakuwa tumezibwa pamba masikioni sasa na tutaonekana watu wa ajabu sana kuruka mkojo na kukanyaga mavi.
 
Wana jf, kwanza kabisa naomba mtambue udom sio chuo cha chama fulan, udom hatupo kwa ajili ya ccm wala chadema wala cuf wala nccr mageuzi n.k, udom ipo kwa ajili ya watanzania wote, chuki zenu za kisiasa msizihusishe na udom.
Kuna watu wanasema eti udom ni chuo cha ccm kisa eti ccm huwa wanajitapa nacho, hivi kwa mfano, mbunge wa udp akijenga kisima kwenye jimbo lake, mnataka asijisifu kwa wapiga kura wake kuwa ni yeye aliyekijenga?
Mbunge wa chadema akijenga shule jimboni mwake asijisifu kuwa kajenga shule?!
Mbunge wa cuf akijenga zahanati jimboni mwake asijisifu kuwa kajenga zahanat?!
Mwanasiasa kujitangaza na kujisifu kwa mafanikio yake sio kosa kwa sababu ya kutafuta popular support na wala haimpi haki miliki ya hayo alyoyafanya.
Hata leo mbunge wa chadema akijenga shule kwenye jimbo lake, hiyo shule haitakuwa yake lakin anaruhusiwa kujitangaza.
Chuo kikuu cha Dodoma udom, kimejengwa na serikali ya ccm sio kosa ccm kujisifia kwa hilo lakin hiyo haikipi haki chama cha mapinduzi ccm kuimiliki udom!
 
Back
Top Bottom