Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

Chuo Kikuu cha Morogoro kinadidimia kitaaluma

Elimu inayotoka chuo cha morogoro ni ya juu sana..MZUMBE.UDSM. TUMAINI hawaifikii acha uongo wako wewe
Rudi kusoma post vizuri. Wapi nimesema elimu inayotolewa pale ni MBOVU? Jitahidi kuelewa mada.
NIKUSAIDIE KIDOGO: Kma una ndugu yako anafanya kazi pale au mtumie hiyo post yangu halafu mwambie akueleze je nilichoandika ni uongo au UKWELI.? Then baada ya jibu utakalolipata njoo humu kutoa ushuuda. Nakuhakikishia huyo ndugu yako akikana basi MODERATORS wanipige ban.
 
Ahsante ndg. COARTEM ....... kwa taarifa..
Ndg. WaIslamu tujifunze kusikia... huu ni ujumbe !! na Lisemalo lipo!! Sasa tufuatilie na kuhakiki..hata tukikuta powa... Tuongeze Maono na malengo!! upgrade!!
Ndg. Waislam tuache kudharau na kupuuza mambo madogodogo!!
Sina ugomvi na uislamu hata kidogo maana ni ndugu zangu tunaoishinao vizuri sana.
MUM pale yule DVC ni tatizo, kama utaweza pata contact za wafanyakazi wa pale MUM waulize haya niliyokuambia utasikia majibu yao. Kiufupi tunataka MUM isimame imara ili watoto wengi wa kiislamu wazidi kupata elimu bora.
 
Elimu inayotoka chuo cha morogoro ni ya juu sana..MZUMBE.UDSM. TUMAINI hawaifikii acha uongo wako wewe
We hujamuelewa mtoa mada... hajazungumzia udogo au ukubwa wa elimu ya MUM, bali kufa kwa chuo kwa sababu alizozitoa.. kama uongo upo kwenye hizo sababu sema
 
Hapa issue siyo uislamu na ukristo, issue hapa ni CHUO KUWA NA UWEZO WA KUJIENDESHA. MUM haina hata mradi mmoja wa kusaidia kuongeza mapato ya kuendesha shughuli zake. MUM wanategemea ADA za wanafunzi tu.
 
Chuo hicho kilikuwa cha TANESCO, na TANESCO inasemekana walinyang'anywa bila idhini yao, nashauri kingerudishwa tu kwa mwenyewe na wamiliki wakatafutiwa sehemu nyingine ambapo wanaweza hata kukiendeleza zaidi. Hapo kilipo sasa kimebanana na mitambo ya umeme na hakuna tena nafasi ya kufanya upanuzi wowote.
 
Tunahitaji MUM iendelee kuewpo kuzidi kutoa elimu kwa watoto wa kiislamu. Tunapoleta changamoto humu muwe mnazikubali na kufuatilia ili kuboresha chuo chenu. Hakuna sehemu iliyotajwakwenye mada kuwa MUM haifai, hebu jaribuni kuwa wasikivu.

Mkuu pole sana humu watu wanaleta udini sana ,mimi mwenyewe muislam, sijasoma pale ila nimewahi kwenda pale nina jamaa yangu kasoma pale kasema hawezi kumpeleka jamaa yake pale kusoma kama hawata badirika,watu wanabisha na kuleta udini badala ya kuchunguza
 
Mkuu pole sana humu watu wanaleta udini sana ,mimi mwenyewe muislam, sijasoma pale ila nimewahi kwenda pale nina jamaa yangu kasoma pale kasema hawezi kumpeleka jamaa yake pale kusoma kama hawata badirika,watu wanabisha na kuleta udini badala ya kuchunguza
Heri yako wewe umeyafahamu hayo kidogo. Jitahidi kuwashauri wenzako wafanye mabadiliko kwenye uendeshaji wa chuo kile.
 
Muslim University of Morogoro (MUM) nikama kimewashinda ndugu zetu waislamu kukiendesha, inasikitisha sana. Hivi mkiacha kikafa na kufungwa kabisa mtamlalamikia nani?.

Dalili za kushindwa kukiendesha chuo hicho.

1. Idadi ya wanafunzi imekuwa ikipungua kwa kasi siku hadi siku

2. Waalimu (lecturers na tutors) wengi wamekuwa wakiacha kazi ya kufundisha chuoni hapo.

3. Chuo kinashindwa kuwalipa Lecturers na tutors kwa wakati; Ni jambo la kawaida sana kwa chuo hicho kukaa miezi MINNE (4) bila ya kuwalipa waalimu wao mishahara.

4. Chuo hiki cha kiislamu kwa sasa kinategemea sana Part time lecturers kufundisha wanafunzi wao japo pia uwezo wa kuwalipa hata hao part time lecturers nao ni mdogo sana. Part time lecturers nao wanakikimbia chuo hicho.

5. Majengo ya chuo yamechakaa sana, yaani hayana mvuto wa ki-UNIVERSITY.

NDUGU ZANGU waislamu, ingilieni kati kukinusuru chuo chenu vinginevyo chuo hicho kinaelekea kufa. Nahisi Uongozi wa chuo hicho hauna maono ya namna ya kukiendesha chuo hicho na kukifanya kuwa chuo kilicho bora kitaifa na kimataifa.
Mimi nadhani maelezo yako yafanyiwe kazi na wamiliki wa chuo hiki ili kujua ukweli hii ni feedback
 
"Waislamu Mmeshindwa...." yaaani Ulivyoanza tu, unaonekana umelenga kuattack hao ndugu zetu ( kwa dini yao) ,
 
mtoa mada jitahid kufanya research kabla ya kuleta uongo humu ndani .huna facts no right to speak. MUM ni chuo kilichojidhatit ktk uendeshaji wake na utoaji elimu yenye kiwango, hakuna lecture anae kimbia wa kususa mean kuhusu kupungua Kwa wanafunzi sio chanzo ni chuo hapana,kwani uchaguz wa wanafunz kujiunga na chuo ufanyika moja Kwa moja kupitia TCU hvo wao ndo wanajua ni vp kla chuo kitapata wanafunzi idadi iliyopangwa. Mfano toka mwaka 2010 SAUT ilikua ikichukua zaid ya wanafunz 9000 lkn baada ya utaratibu kubadilika mpaka mwaka Jana Saut imepewa wanafunz chin ya 4000 je hio ni kutokana na ubora wa chuo..........? Em tafakar kabla ya kutoa mada
MUM haimo kwenye orodha ya TCU
 
Sijapata kuona chuo chenye sheria za ajabu na kisicho mjali mwanachuo kama Mum. Yapo mengi yanayo waondoa wana chuo pale.
 
Jamani hivi mnajua hali ya st John ya Dodoma? Au Semcuco ile ya Lushoto????? Bora MUM mara 1000 kuliko hivyo! I am speaking from my experience
 
Jamani hivi mnajua hali ya st John ya Dodoma? Au Semcuco ile ya Lushoto????? Bora MUM mara 1000 kuliko hivyo! I am speaking from my experience
Nimecheka sanaaaa... Yaani wewe unachofanya ni kuwa kwa vile hivyo ulivyovitaja umeviona vina hali mbaya, BASI NI SAWA KWA MUM KUWA VILE ILIVYO...

Ni kutotazama mambo kwa mapana yake...

Kama hivyo ulivyovitaja vina hali mbaya, ungefanya kama alivyofanya mtoa mada.. Weka sababu unazodhani zinasababisha hayo then toa ushauri.. basiii
 
Elimu inayotoka chuo cha morogoro ni ya juu sana..MZUMBE.UDSM. TUMAINI hawaifikii acha uongo wako wewe
Kha! hahahaaaaaaaaaaaaa! hii kali! du! mdau vipi umesoma mada na kuelewa kweli? Mie nawajua wawili ambao wamekimbia na sasa wapo UDOM.
 
Mtoa mada utakuwa unalako jambo! Mimi ni mdau wa mum nachojua kwa sasa kuna watumishi zaidi 22 ambao wengi wao wako nje lwa ajili ya PhD, ndo maana hata upungufu ukawepo, kwa taarifa yako Mum ni chuo kilicho very strict kwenye principles za ajira na academics,wanafunz wanaodisco pale ndo huchukua progressive report kwa kwenda Jordan university, maana jordan kwao elimu ni biashara.Mum kama mwalimu huna GPA ya kuanzia 3.8 undergraduate na 4.0 masters huna nafasi hata kama ni science! Ndo maana kuna baadhi ambao hawakukidhi vigezo mmoja kaenda SUA mwingine Mwalimu Nyerere kivukoni, na mwingine sijui alipo.So hakuna anayekimbia ni kutokana na strictness iliyopo
 
Ahsante ndg. COARTEM ....... kwa taarifa..
Ndg. WaIslamu tujifunze kusikia... huu ni ujumbe !! na Lisemalo lipo!! Sasa tufuatilie na kuhakiki..hata tukikuta powa... Tuongeze Maono na malengo!! upgrade!!
Ndg. Waislam tuache kudharau na kupuuza mambo madogodogo!!
Huu ndio umuhimu wa kuelewa jambo kwa tafakuri
Ndugu zangu katika iiman tusipuuze ujumbe huu
Ni muda muafaka wa kufuatilia na kutafuta suluhu inshaallah.
 
Toa mawazo ya kukisaidia chuo,itisha hata michango apa utachangiwa au Toa hata mawazo ya harambee etc unadhani watoto wako watasoma wapi kikishafungwa? Mpo busy na thread za Asia ya kati wkt chuo hakina hata matutors apo Morogoro tu! jiongeze sio unabwabwaja Udini kila kitu,think out of the box.
Inferiority complex inamsumbua! Ni wa kumwombea tu
 
Back
Top Bottom